Ni Samia na Kikwete tuu wasiowajua wakenya. Kwanza wao ni rahisi sana kutumika na mabeberu kuhatarisha uslama wa nchi jirani.Duh... Hivi hapa Kuna Undugu Kweli? Wakenya ni Wanafiki Wakubwa..!
Kwa Kifupi Magu ndio alikuwa anajua ku deal nao lakini huyu Mzanzibari wala hajui anachofanya.
Sasa hivi usikute mabeberu na mafisadi wamemshauri abinafisishe na Bandari.