K kakolo JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 397 Reaction score 341 Mar 28, 2022 #21 kinje ketile said: Duh... Hivi hapa Kuna Undugu Kweli? Wakenya ni Wanafiki Wakubwa..! Click to expand... Ni Samia na Kikwete tuu wasiowajua wakenya. Kwanza wao ni rahisi sana kutumika na mabeberu kuhatarisha uslama wa nchi jirani. Kwa Kifupi Magu ndio alikuwa anajua ku deal nao lakini huyu Mzanzibari wala hajui anachofanya. Sasa hivi usikute mabeberu na mafisadi wamemshauri abinafisishe na Bandari.
kinje ketile said: Duh... Hivi hapa Kuna Undugu Kweli? Wakenya ni Wanafiki Wakubwa..! Click to expand... Ni Samia na Kikwete tuu wasiowajua wakenya. Kwanza wao ni rahisi sana kutumika na mabeberu kuhatarisha uslama wa nchi jirani. Kwa Kifupi Magu ndio alikuwa anajua ku deal nao lakini huyu Mzanzibari wala hajui anachofanya. Sasa hivi usikute mabeberu na mafisadi wamemshauri abinafisishe na Bandari.