Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mzee wa kitimoto Pascal Mayalla enzi hizo ulikuwa RTD?
Mzee naomba unisaidie jina la channel yako ya YouTube ksma unayo ili niweze kwenda kuchota maarifa huko
Asante sana kwa simulizi hii, unaweza ukawa umesema ukweli tupu kwa asilimia 99% halafu ukachomekea urongo kwa asilimia 1% tuu, huo urongo mmoja ukabatilisha ule ukweli wote 99% ukaonekana wote ni urongo kama ule urongo wa idadi ya waislamu kwenye bandiko hili Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!
Yes nilikuwa RTD nimeishafanya kazi miaka mitatu, hili vuguvugu la muslim fundamentalism pia liliikumba RTD, Mkurugenzi alikuwa David Wakati, Mkristu, CP ”controller of programs”, Sulemam Hegga, Muislam fundamentalist. Muslim fundamentalists wakaanzisha BALUKTA kuipinga Bakwata, Hegga akaruhusu BALUKTA kuleta vipindi vya dini ya Kiislam RTD, alongside BAKWATA . MUfti Sheikh Mkuu, Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, alikuwa mtu rahim sana, huku fundamentalist wakimtumia Sheikh Kassim Bin Juma. Huku BAKWATA huku BALUKTA, RTD moto uliwaka, kwanza Hegga aling'olewa, kisha Wakati nae akaondolewa, vipindi vya BALUKTA vikasitishwa.Mzee wa kitimoto Pascal Mayalla enzi hizo ulikuwa RTD?
Na Uzushi + UongoUdini tu
Nimekuja kuisoma mahala hii, Mzee Suleiman Hegga aliishitaki BALUKTA kwa serikali ya Mwinyi kuwa inataka kuvunja Amani ya NchiYes nilikuwa RTD nimeishafanya kazi miaka mitatu, hili vuguvugu la muslim fundamentalism pia liliikumba RTD, Mkurugenzi alikuwa David Wakati, Mkristu, CP ”controller of programs”, Sulemam Hegga, Muislam fundamentalist. Muslim fundamentalists wakaanzisha BALUKTA kuipinga Bakwata, Hegga akaruhusu BALUKTA kuleta vipindi vya dini ya Kiislam RTD, alongside BAKWATA . MUfti Sheikh Mkuu, Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, alikuwa mtu rahim sana, huku fundamentalist wakimtumia Sheikh Kassim Bin Juma. Huku BAKWATA huku BALUKTA, RTD moto uliwaka, kwanza Hegga aling'olewa, kisha Wakati nae akaondolewa, vipindi vya BALUKTA vikasitishwa.
P
BAKWATA vsNimekuja kuisoma mahala hii, Mzee Suleiman Hegga aliishitaki BALUKTA kwa serikali ya Mwinyi kuwa inataka kuvunja Amani ya Nchi
Suruali fupi wa BALUKTA akiwemo Mohamed Said waling'aka sana
Nimesoma hadi mwisho nilichoambulia ni hekaya zilezile.
Hivi unaposema sema "kanisa" huwa unamanish nini?