Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Dah!....kazi kweli kweli ilikuwa..Yes nilikuwa RTD nimeishafanya kazi miaka mitatu, hili vuguvugu la muslim fundamentalism pia liliikumba RTD, Mkurugenzi alikuwa David Wakati, Mkristu, CP ”controller of programs”, Sulemam Hegga, Muislam fundamentalist. Muslim fundamentalists wakaanzisha BALUKTA kuipinga Bakwata, Hegga akaruhusu BALUKTA kuleta vipindi vya dini ya Kiislam RTD, alongside BAKWATA . MUfti Sheikh Mkuu, Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, alikuwa mtu rahim sana, huku fundamentalist wakimtumia Sheikh Kassim Bin Juma. Huku BAKWATA huku BALUKTA, RTD moto uliwaka, kwanza Hegga aling'olewa, kisha Wakati nae akaondolewa, vipindi vya BALUKTA vikasitishwa.
P
Mzee Mohamed Said hajawahi popote kukielezea hiki kisa wala kuitaja BALUKTA ila anaelezea sana kuvunjwa kwa EAMWS na kuundwa BAKWATA.BAKWATA vs
BALUKTA ilikuwa moto!.
P
Hiwa kila nikisikia akitajwa huyu Mufti, huwa najisemea moyoni kwamba "Hakika ni miongoni mwa mazao bora kabisa ambayo Mungu amewahi kuizawadia hii nchi"MUfti Sheikh Mkuu, Hemed Bin Jumaa Bin Hemed, alikuwa mtu rahim sana,
softcopy hatupati hizi mzee wangu?Inside 10,
''Kanisa Katoliki Bukoba liliteua wagombea wake wenyewe wapambane wa wagombea Waislam walioteuliwa na TANU kugombea nafasi katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kanisa lilisema limeweka wagombea wake binafsi kwa kuwa wana elimu kupita wagombea wa TANU Waislam.
Kampeni kama hii ilifanyika vilevile Kigoma.''
Hii ilikuwa 1963.
Unaweza kupata taarifa zaidi katika vitabu hivyo hapo chini ingawa kwa sasa vitabu hivyo vimeondolewa sokoni kimya kimya kwa hofu ya yale yaliyokuwa ndani ya vitabu hivyo:
View attachment 3118398
Balukta ni la juzi tuu,sijui lilikuja kufia wapi!Mzee Mohamed Said hajawahi popote kukielezea hiki kisa wala kuitaja BALUKTA ila anaelezea sana kuvunjwa kwa EAMWS na kuundwa BAKWATA.
Lax,softcopy hatupati hizi mzee wangu?
Proved,Mzee Mohamed Said hajawahi popote kukielezea hiki kisa wala kuitaja BALUKTA ila anaelezea sana kuvunjwa kwa EAMWS na kuundwa BAKWATA.