Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Safi.Sasa kaogeshe watoto moyo wako umefurahi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi.Sasa kaogeshe watoto moyo wako umefurahi.
Matembezi ya ekaristi
Yalimvutia Hadi Biteko!!Matembezi ya ekaristi
Ni kufuru dhidi ya dhehebu/Roman Catholic.Haukuwa na neno lingine kichwani?Matembezi ya ekaristi
Hahahaha... Mkuu pole sana mimi nimekuja kupiga picha tu maandamano ya nyumbu huku Mbeya!!Safi.Sasa kaogeshe watoto moyo wako umefurahi.
Umeshiriki kuandamana siyo kupiga foto tu.Umebeba na michembe yako kujikimu?Hahahaha... Mkuu pole sana mimi nimekuja kupiga picha tu maandamano ya nyumbu huku Mbeya!!
KAA KIMYA WEWE.Ni kufuru dhidi ya dhehebu/Roman Catholic.Haukuwa na neno lingine kichwani?
Nikae kimya kivipi wakati unaleta zeleheba/utani/kejeli/mlinganisho batili na imani za watu?I can sing the Canaries all over the minutes!KAA KIMYA WEWE.
Subiri ya Tarime na ArushaLeo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza.
Kusema kweli maandamano ya leo yalikuwa makubwa sana ikiashiria kuwa kadiri siku zinavyokwenda wanaanchi wanazidi kuiunga mkono Chadema katika hoja wanazosimamia kwenye maandamano yao. Jambo hili limeanza kuwatisha CCM ndiyo maana misukule yao humu imeanzisha nyuzi nyingi sana leo kuyaponda.
Chadema shikilieni hapo hapo mpaka kieleweke, somo la uzalendo linaanza kuwaingia wananchi na kujua ni nani mbaya wao. Mziki aliokutana nao Biteko atamsimulia boss wake kuwa hawa watu hawatanii.
Acahna na hao wajinga wa CCM. Tatizo kubwa la CCM ni kuwa wanatumia muda mwingi kuonyesha kuwa CHADEMA haifai kuliko wanavyotumia kuonyesha CCM inafaa kwa kuwatumikia wananchi. Haya maandamano yanawanyima usingizi kwa sababu walikuwa wanadhani wananchi hawatajitokeza kama ilivyo sasa. Kwenye kitabu cha Kusadikika, waziri mkuu wa Kusadikika aliposikia mafundisho ya Karama juu ya uanasheria mwanzoni alidharau kwa kusema tone moja la maji haliwezi kuleta gharika katika nchi. Kufumba na kufumbua wasadikika wakaanza kuwa wafuasi wa Karama ndipo aliposhituka na kusema lile tone la maji alilodhani litakauka lenyewe, limekuwa mlizamu wa kufariji wafuasi wa Karama.Leo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza.
Kusema kweli maandamano ya leo yalikuwa makubwa sana ikiashiria kuwa kadiri siku zinavyokwenda wanaanchi wanazidi kuiunga mkono Chadema katika hoja wanazosimamia kwenye maandamano yao. Jambo hili limeanza kuwatisha CCM ndiyo maana misukule yao humu imeanzisha nyuzi nyingi sana leo kuyaponda.
Chadema shikilieni hapo hapo mpaka kieleweke, somo la uzalendo linaanza kuwaingia wananchi na kujua ni nani mbaya wao. Mziki aliokutana nao Biteko atamsimulia boss wake kuwa hawa watu hawatanii.
Technically Mbeya kuna watu wanaojifanya wajuaji ila kimsingi ni wajinga ndio maana Limji lao la hovyo limejaa mabanda ya tope Kila Kona.Leo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza.
Kusema kweli maandamano ya leo yalikuwa makubwa sana ikiashiria kuwa kadiri siku zinavyokwenda wanaanchi wanazidi kuiunga mkono Chadema katika hoja wanazosimamia kwenye maandamano yao. Jambo hili limeanza kuwatisha CCM ndiyo maana misukule yao humu imeanzisha nyuzi nyingi sana leo kuyaponda.
Chadema shikilieni hapo hapo mpaka kieleweke, somo la uzalendo linaanza kuwaingia wananchi na kujua ni nani mbaya wao. Mziki aliokutana nao Biteko atamsimulia boss wake kuwa hawa watu hawatanii.
Na hao wa ccm ni vitambi vya mimba? Mbona wewe unamuaibisha unayetumia jina lake kwa jinsi unavyo andika post za kijinga!Wakifanya hayo matembezi ya hisani angalau miji 10 itasaidia kina Heche na vigogo wengine wa chama cha Mbowe kupunguza vitambi. Vitambi vya ruzuku ni vibaya kwa afya.
Maelezo yameshiba.MAABARA YA CHADEMA & DARUBINI YA CCM
Tunafuatilia maandamano yanayoratibiwa na CHADEMA nchi nzima. Maandamano hayo kwa ujumla yamebeba agenda kuu mbili: 1. Ugumu wa maisha; 2. Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Kuna watu Kwa kutokujua wanayabeza maandamano hayo kwa sababu za utofauti wa kiitikadi, kuna watu pia wanasifu kwa sababu pia za mahaba ya kiitikadi. Lakini kwa muono au mtazamo wetu, maandamano hayo ni maabara ya kujichunguza lakini pia ni darubini au hata hadubini ya kujiona iwe ni kwa mbali au kwa karibu:
1. CHADEMA inaweza isipate haraka matokeo iliyoyakusudia lakini inaweza kupata matokeo mengine (subsidiaries) ambayo ni ya muhimu sana kwao sasa wanapoelekea katika kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025.
2. Kwa kupitia maandamano hayo, CHADEMA inapata fursa ya kipekee ya kupima kukubalika kwao katika jamii. Kwamba hiyo 'nyomi' kubwa inayojitokeza ni ishara ya kura tarajiwa.
3. Kwa kupitia maandamano hayo, CHADEMA inapata nafasi ya pekee ya kuwaweka pamoja wanachama wake katika ngazi za matawi, Kata na Wilaya ambao walipitia joto la migawanyiko ya Uchaguzi ambao umehitimika katika ngazi husika.
4. Kwa kupitia maandamano hayo, CHADEMA inapata fursa ya kuwaeleza marafiki zao nje ya nchi kuwa wanao ushawishi katika nchi.
5. Kwa kupitia maandamano hayo, CHADEMA inapata fursa ya kuwashawishi watu ambao hawajaamua chama cha siasa cha kujiunga (wengi wao ni vijana waliohitimu vyuo vikuu katika kipindi cha miaka 4 iliyopita).
Kwa upande mwingine, maandamano hayo pia yanaweza kuwa darubini au hadubini kwa ajili ya CCM kujiona kwa mbali au hata kujitazama kwa karibu:
1. Kupitia maandamano hayo, CCM inaweza kuona uhalisia wa nguvu ya CHADEMA ambao hadi mwezi uliopita ulikuwa umejificha kwani sio siri kuwa CHADEMA Digital imekiimarisha sana CHADEMA katika ngazi za Tawi, Kata na hata Wilaya. CCM ikipima uhalisia wa nguvu ya CHADEMA inaweza kujipanga vizuri ili isije pia ikaaibishwa kama ilivyoaibishwa UNIP ya kule Zambia miaka ya 1990s baada ya kubwagwa na MMD ya Frederick Chiluba.
2. Kupitia maandamano hayo, Serikali ya CCM inaweza kupata fursa ya kuiambia dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia na pia kuna uhuru wa kuandamana. Hili wakifanikiwa itakuwa ni heshima na mtaji mkubwa sana kwao.
3. Kupitia maandamano hayo, Serikali ya CCM inaweza kupata fursa ya kuona hasira za watu juu hali ya maisha na kuamua kurekebisha kwa kadiri inavyoweza ili kuepuka hukumu dhidi yao katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025.
4. Kupitia maandamano hayo, Wabunge wa CCM watapata nafasi ya kujua wanakubalikaje katika majimbo yao ambako CHADEMA wanapita na maandamano hayo.
5. Kupitia maandamano hayo, CCM imepumua kwani hadi watakaposikiliza hukumu ya watu kuhusu hoja ambazo CHADEMA inawapelekea.
Hata hivyo, changamoto ya maandamano yote duniani ni kuwa hufanyika katika miji, majiji na miji mikuu. Ni vigumu sana kwa waandaaji wa maandamano kuwabeba watu kutoka Vijijini ili wafike mijini. Kwa sababu hiyo, maabara hiyo, darubini hiyo na hata hadubini hiyo inaweza pia isitupe matokeo ya Vijijini na inaweza isitupe sura na taswira yetu ya Vijijini.
Kwa kuhitimisha, maandamano hayo ni dalili ya ushindi kwa upande wa wana demokrasia wa ndani ya CCM, Serikali, CHADEMA pamoja na wanaharakati wote. Tunawapongeza viongozi wa CHADEMA kwa kuratibu maandamano ya amani na hivyo kuvuka mtihani na mtego kwa kuwa wapo watu wasipoenda demokrasia wao walitaka kupata kisingizio cha kuyazuia. Na pia, tunaipongeza serikali kwa kutokuyabughudhi maandamano hayo na kuacha watu wapumue!
Anayeyabeza maandamano hayo ni 'Katojo' lakini pia anayebweteka na maandamano hayo ni 'Kalagesye'! Lakini kama taifa hii ni dalili nzuri ya maridhiano ya asili kwani matokeo ya maandamano hayo yatatupeleka wote katika meza ya mazungumzo wakati kila upande wa vyama vikuu vya siasa unajua nguvu na udhaifu wa upande mwingine. Umbwelehi ine?Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 20 Februari 2024; 2:53 usikuView attachment 2910523
..Technically Mbeya kuna watu wanaojifanya wajuaji ila kimsingi ni wajinga ndio maana Limji lao la hovyo limejaa mabanda ya tope Kila Kona.