Pre GE2025 Maandamano ya Mbeya yafunika yale ya Dar na Mwanza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
acha upotoshaji,

mahangaiko ya leo yalilenga kumdisapoint na kumhadaa kibaraka na kumfurahisha na actually kumtambulisha mgombea urais wa Mwenyekiti Taifa Dr.Slaaa πŸ’
 
Wananchi wamekata tamaa , maisha yetu magumu serikali jitathimini.
 
Technically Mbeya kuna watu wanaojifanya wajuaji ila kimsingi ni wajinga ndio maana Limji lao la hovyo limejaa mabanda ya tope Kila Kona.
Taja mji usiokuwa na nyumba za tope na sisi tukuwekee picha za nyumba zao hapa.

Ujinga wako wa kuwa CCM usikufanye upate makasiriko hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…