Kiranja wa zamu na fisiem ndo wenye baraka na chochote anafanya yule domo. Msanii akiomba mafuriko wanaangalia tu ila aombe kiongozi wa upinzani hata kwenda hospital wanapanic. #getangry
Tuzo zake familia yake pamoja na ccm na mazombi wasiojijua
Mburula/ maskini akipata
Nilishangaa jana mida ya saa nane nikielekea airport, diamond katengeneza foleni upande wa pili. Foleni isiyo na tija...
,,,,nini maana ya ''lazima''?punguzeni povu kwani ile tuzo imewakilisha wapi kama si tanzania lazima watanzania tuungane kumpongeza kijana wetu kwa juhudi alizonazo
Ok ulikuwa unaelekea AIRPORT, roggerππππππππ
,,,,nini maana ya ''lazima''?
Mburula/ maskini akipata
next time usitumie maneno usiyoyaelewa........labda nikuulize wewe unaechambua neno kwa neno
Mburula/ maskini akipata
Sasa inawauma nini nyie?
Anatutangazia nchi yetu mnataka iweje?
Akirudi nchini tusimshabikie kisa?
Wivu umewajaa mtanyooka tu.
punguzeni povu kwani ile tuzo imewakilisha wapi kama si tanzania lazima watanzania tuungane kumpongeza kijana wetu kwa juhudi alizonazo