Maandamano ya msanii Diamond

Maandamano ya msanii Diamond

Kiranja wa zamu na fisiem ndo wenye baraka na chochote anafanya yule domo. Msanii akiomba mafuriko wanaangalia tu ila aombe kiongozi wa upinzani hata kwenda hospital wanapanic. #getangry
Mtanyooka.jpg
 
Hahaaa UKAWA wanatetemekaa,wakimwona Daimond wanatetemekaaaa!!!
 
Nilishangaa jana mida ya saa nane nikielekea airport, diamond katengeneza foleni upande wa pili. Foleni isiyo na tija...

Ok ulikuwa unaelekea AIRPORT, rogger🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Sasa inawauma nini nyie?

Anatutangazia nchi yetu mnataka iweje?

Akirudi nchini tusimshabikie kisa?

Wivu umewajaa mtanyooka tu.
 
Bt alipofika maeneo ya lumumba kwa wajomba zake fcm vijana cjui walitokea wapi walianza kupiga makelele huku wakionyesha alama ya vidole vya chadema cdhan kama iyo clip ataionyesha hata kwa insta yke.
 
Back
Top Bottom