Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Maandamano haya yameweka historia mbaya sana kwa watanzania! Yamechukua roho za watu kwa watu kuuwawa, yameharibu ajira za watu, na biashara.
============
Zaidi ya Magari 34 ya usafirishaji katika Mkoa wa Mwanza yametajwa kuharibiwa baada ya kuzuka kwa vurugu za waandamani siku ya Oktoba 29 hadi 30 mwaka huu huku madereva zaidi ya 45 wakipoteza kazi.