Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
- Thread starter
- #21
Hakuna jeshi lolote lilitumwa mtaani huko Ufaransa kama Revolutionary Guard ilivyotumwa mtaani Iran kuua raia.
Morsi na wenzako waliohusika katika maandamano ndio walivuragana wakawapa jeshi fursa ya kuingilia kati. Maandamano ya kumuondoa Shah na ya kumuondoa Mubarak yanafanana kwa maana yote yalikuwa kuondoa madikteta na kupanua wigo wa uhuru wa wananchi lakini mwishowe wakapoteza kwa madikteta wengine wapya.

Maandamano sio shida shida ni kupigwa waandamanaji. Hiyo haifai iwe imetokea Ufaransa au Irani au kokote kule. Kwa nini jeshi liwapige watu wanaoandamana bila silaha kwa amani!?
Tulitegemea hilo tulione kwa mapioneer wa demokrasia na uhuru wa kujieleza duniani. France & Co. Imekuwa ni kinyume chake na badala yake badala ya kukemea kama mnavyokemeaga kokote kule yanapotokea mnatafuta namna ya kuhalalisha.
Mapinduzi ya Irani hayana yanachofanana na mapinduzi ya Misri. Ukilazimisha kuyafananisha unaonekana hujui kitu. Na baada ya kuondolewa mubaarak hakufuata Al sisi ila Morsi. Na morsi hakuwekwa na jeshi bali uchaguzi mkuu. Alipoondolewa Morsi kwa maandamano ndipo jeshi likachukua nchi chini ya jenerali al sisi na baada ya muda ukafanyika uchaguzi na al sisi akaushinda. Na wala Al sisi sio dikteta as far as westerners are concerned!