Maandamano ya raia Ufaransa yanafanana na yale katika tawala za kiimla kama Iran?

Hakuna jeshi lolote lilitumwa mtaani huko Ufaransa kama Revolutionary Guard ilivyotumwa mtaani Iran kuua raia.

Morsi na wenzako waliohusika katika maandamano ndio walivuragana wakawapa jeshi fursa ya kuingilia kati. Maandamano ya kumuondoa Shah na ya kumuondoa Mubarak yanafanana kwa maana yote yalikuwa kuondoa madikteta na kupanua wigo wa uhuru wa wananchi lakini mwishowe wakapoteza kwa madikteta wengine wapya.
 
Leta ushahidi wa unacho kisema kwenye maandamano ya sasa jeshi halikuhusika kukabiliana na waandamanaji.
 

Wakati serikali yako dhalimu ikimtawanya kwa bomu huyu mwandishi ulikuwa kimya ila kibabu kizee cha kizungu kimetolewa damu kidogo tu unapayuka mpaka taya zinataka kutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…