Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Hapana picha ni kwaajili ya kutuonesha sie tulio mbali na upeo wa macho yenu,Hatuandamani ili kupiga picha. Tunaandamana ili kupinga udhalimu. Vyovyote vile, ni lazima kama binadamu tuliopewa akili na Mungu tupinge udhalimu kwa namna zote.
Tupo pamoja.