Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Hapana picha ni kwaajili ya kutuonesha sie tulio mbali na upeo wa macho yenu,Hatuandamani ili kupiga picha. Tunaandamana ili kupinga udhalimu. Vyovyote vile, ni lazima kama binadamu tuliopewa akili na Mungu tupinge udhalimu kwa namna zote.
Sawa,Mr sabas anawasubiri....Dunia nzima hakunaga Mabadiliko yaliyowahi kuletwa na Watu Wengi
1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi...www.jamiiforums.com
Tafadhari usiseme wananchi wameamua. Sema TISS na NEC
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.Wacha nisubiri kesho kuona jinsi Polisi watakavyokuwa standby kuzuia maandamano hewa.
Sawa,Mr sabas anawasubiri....
Sabas ni nani? Tatizo letu mpaka taasisi zetu za dola wanaongea ujinga wa watawala wa kisiasa! Wao kazi yao ni kuhakikisha maandamano yanafanyika kwa amani! Bahati mbaya nao wameisha jiingiza ktk siasa za watawala! Wakati ukifika mtaondolewa nao madarakani!Sawa,Mr sabas anawasubiri....
We andamana tu lakini sie hatuandamani na wala hatuamini katika hilo sie ni amani tuAndika takataka ndeeefuuu..ila kila mtu anandaamana kutokana na alichokiona
Wizi nimeona mbele ya macho yangu
Hayo maslahi binafsi siyatambui..kila mtu ana conviction yake...
Nyie pia mna maslahi yenu binafsi kwa kuiba kura ...msiletee hoja ya kipumbavu ya "maslahi binafsi".....
I better die kwa huu wizi niliooona!
Kama ni maslahi binafsi then fvck you big time!
Kesho mkuu selfie za kutosha zitakufikia. Hawa dhulumati CCM hatutaki kuwaacha wajimwambafai. Eti hata mcheza ngono Gwajima anakuwa mbunge???Bro me nakuaminia, inyeshe mvua liwake jua, kesho ni kesho,
Sema nini? siache kutupia picha za maandamano hiyo kesho.
We ni unaota mchanaUS na UK wamejipanga kuhakikisha uhuni unakomeshwa. Watahakikisha JPM anaondoka Ikulu. Just a Matter of time
Sawa, huo wakati utafika lini? Huo wakati wa kuondoka madarakani na kama wakati huo bado kwanini msikae kwa kutulia, hayo maandamano si mtaumia tu bure, msubiri wakati wenu ufike.Sabas ni nani? Tatizo letu mpaka taasisi zetu za dola wanaongea ujinga wa watawala wa kisiasa! Wao kazi yao ni kuhakikisha maandamano yanafanyika kwa amani! Bahati mbaya nao wameisha jiingiza ktk siasa za watawala! Wakati ukifika mtaondolewa nao madarakani!
Ha ha ha wengi wenu mtaandamana mitandaoni tu.Sema msemavyo lakini kesho maandamano. Tunadai haki. Haki huinua taifa.
Kwa maslahi ya nani???US na UK wamejipanga kuhakikisha uhuni unakomeshwa. Watahakikisha JPM anaondoka Ikulu. Just a Matter of time
Wananchi wameamua, hawataki kusikia mtu yoyote zaidi ya Mzee baba jembe letu John Pombe Magufuli
Kujua msimamo wa league cheki kilichomkuta zito huko IG
View attachment 1617359View attachment 1617360View attachment 1617361View attachment 1617362View attachment 1617364
Kha ni shidaa, wananchi hawataki kuelewa kabisa 😂
2025 hakutakuwepo na uchaguzi maana ifikapo 2023 Katiba itabadilishwa ili JPM atawale maisha yake yote.Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
2025 hakutakuwepo na uchaguzi maana ifikapo 2023 Katiba itabadilishwa ili JPM atawale maisha yake yote.
Hata hivyo nchi itaendelea sana na wananchi watauaga umasikini.
2020-2030 is a decade of grace to the Tanzanians.