Uchaguzi 2020 Maandamano ya tarehe 2 Nov: Je, Ni Demokrasia au waliokosa wanapigania Maslahi Binafsi?

Are you serious? Kama CCM angekuwa na maslahi why sasa kiongozi wao ndiyo anaongoza mapambano ya kukagua mikataba yao upya?

..Hujui kwamba Symbion asili yake ni Richmond na Dowans?

..Sasa Richmond na Dowans ilikuwa mali ya nani?

..Wamiliki wa Richmond na Dowans ni vigogo wa CCM.

..hakuna UFISADI uliofanyika nchi hii bila kumhusisha mwana-CCM.

NB:

..awamu zote za uongozi nchi hii hukagua mikataba mbalimbali iliyosainiwa na awamu zilizopita.
 
Tambua kuwa Lissu, Zitto, Membe, na mazezeta wengine waliokosa kura hawana kazi hivi sasa, wanalia kwa machungu kwani hawaamini watanzania wamewasusa. Watu wamekaa madarakani zaidi ya miaka 10 hawajapeleka maendeleo majimboni mwao kazi kubishana tu na bunge na kujifanya wanajuwa kila kitu. Hawa wehu wanalilia maslahi binafsi, wanataka Magufuli awape ubunge wa huruma.
 
Safi kabisa Mac
Nilipotea humu tangu Jana, nimekutana na mambo mengimengi
Ndomaana nilivokuona imenibidi nikusabahi kidogo.

Si tupo humu, tunawasikilizia Hawa ndugu zetu waliokuwa wanahamasishana, kuandamana. Ngoja tuwaone mwisho wao..!
 
Ndomaana nilivokuona imenibidi nikusabahi kidogo.

Si tupo humu, tunawasikilizia Hawa ndugu zetu waliokuwa wanahamasishana, kuandamana. Ngoja tuwaone mwisho wao..!
Hawakua wanahamasisha kuandamana hao. Walikua wanahamasisha matendo ya uvunjifu wa amani ili wapate supporting info za kumpa bobu apeleke icc

Wacha walieleze jeshi la police kisa na mkasa kinagaubaga
 
Demokrasia inataka wengi wape, ila demokrasia ya Tanzania ni ya kipekee waliojiandikisha kupiga kura ni M 29 nusu ndio wamepiga kura yaani mshindi hajapata hata nusu ya kura zilizotarajiwa. Manake uchaguzi ulipaswa kurudiwa. Ukitaja hizi takwimu Sasa hivi we ni gaidi
 
Akili hizi ndio kikwazo cha nchii hii. Nadhani umefanikiwa kupata malazi, chakula na lakini hujaweza kuondoa ......! Maandamano sio wao kushindwa. Ni kupinga kilichofanyika katika uchaguzi. Na sote tunakijua.

Wewe huna uwezo wa kuwaza yofauti. Huna sifa ya kuitwa binadamu coz binadamu wana asili ya kuwa tofauti. Wenzetu wanasonga mbele kwa sababu wamejipa nafasi ya kusikilizana hata katika tofauti zao. Tukubali kuna tofauti ambazo tunajitaji kuwa nazo na kusikilizana!! Basi nishauri, ni njia gani unadhano itafanya wasikilizwe?? Waandike barua?? Wakamuone nani kupinga kilichotokea??

Unatesa hao wanao. Hustahili kuwa mlezi!
 
Tutawachinjia baharini tu
 
Hawakua wanahamasisha kuandamana hao. Walikua wanahamasisha matendo ya uvunjifu wa amani ili wapate supporting info za kumpa bobu apeleke icc

Wacha walieleze jeshi la police kisa na mkasa kinagaubaga
Sasa hivi wamebakia kusubiri matamko mbalimbali, kama chanzo cha faraja kwao..!
 
Sasa hivi wamebakia kusubiri matamko mbalimbali, kama chanzo cha faraja kwao..!

Na sisi tunawapuuza tuu hao watoa matamko maana ni wapuuzi

Mungu ibariki Tanzania Mungu, mbariki rais John Pombe Magufuli, mbariki rais Hussein Alli Mwinyi
 
haya maelezo yote ili aogope nani kwa mfano ??
 
Nilitamani sana kuandamana nipo hapa nje kwa aliyekua mbunge wetu yeye kagoma kutoka nje,
anaogopa nini?
Hakuna mtu yoyote mwenye kazi/biashara/shughuli ya kueleweka ataandamana.
 
Hakuna mtu yoyote mwenye kazi/biashara/shughuli ya kueleweka ataandamana.

Ukweli mchungu kwa chadema na act

Na Sasa ushahidi walioutaka mabwana wale ushakosekana
 
Na hao wanaozuiwa maandamano ya amani na haki kikatiba wana nia gani?
 
Ukweli mchungu kwa chadema na act

Na Sasa ushahidi walioutaka mabwana wale ushakosekana
Na nia yao ilikuwa viongozi kujikamatisha ili wawe salama huko mahabusu then wengine waumie kwa niaba yao..hilo wamefeli.
 
Hakuna mtu yoyote mwenye kazi/biashara/shughuli ya kueleweka ataandamana.
Ila ambaye ataangalia bigger picture au atafikiri nje ya boksi, anaweza kuandamana. Shida kubwa Tanzania wengi ni waoga, na kuruhusu 'utumwa' yaani kuwa watumwa, na mara mtumwa akipata nafasi, anatumikisha wenzie; na ndio maana kuna msemo 'kutesa kwa zamu'.
 
Utumwa hauwezi kuisha si unaona Amsterdam anavyotuingilia sie tunamuona shujaa
 
Na hao wanaozuiwa maandamano ya amani na haki kikatiba wana nia gani?

Hakuna anayeweza zuia maandamano ya amani maana huwa kama mafuriko, wala hayo ya kuwalipa vijana wafanye uharibifu kwa kisingizio cha haki na demokrasio hatuwezi kuyaita maandamano
 
Mliopata(mliojichukulia) mna maslahi binafsi hamtaki watu watoe maoni yao kwa kuandamana, kulinda vyeo vyenu mlivyojilimbikizia kupitia chama chenu na sheria za kujipendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…