Maandamano ya tarehe 23 yafanyike hivi

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Kwa jinsi hali ya mambo inavyokwenda, napendekeza kuwa wananchi wote wa TANGANYIKA tuandamane tarehe 23 kwa utaratibu huu.

1. Tumchangie nauli dada yetu Mange Kimambi aje nchini kuongoza maandamano.
2. Nyuma yake afuate Mbowe, Lissu, Mnyika na viongozi wa ngazi za juu.
3. Nyuma yao wafuate watoto wao.
4. Halafu kwa nyuma tufuate watanganyika wote.

Hii itasaidia sana maana polisi wataogopa kufyatua risasi, vinginevyo watu watauawa sana.

Mwisho: Mwakani CCM iweke candidate mwenye akili.
 
Hakuna fala wa kuacha shughuli zake akuandamanie wewe kibaraka wa Wazungu.

Pesa ule wewe harafu niandamane Mimi? 😂😂
 
Ss wenyw atumtaki uyo kwan yy nnan watanganyika atutak mamluk wa nje tunaandamana syo kwa lazmishwa na mtu n ss tumeamua
 
Huna akili
 
Maandamano ya nini na Tume ya PM inalifanyia kazi suala la watekaji na wauaji na itatoa ripoti yake.
 
Kama lengo ni kufikisha ujumbe basi maandamano yafanyike mtandaoni bila mtu kutoka barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…