Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Kwa jinsi hali ya mambo inavyokwenda, napendekeza kuwa wananchi wote wa TANGANYIKA tuandamane tarehe 23 kwa utaratibu huu.
1. Tumchangie nauli dada yetu Mange Kimambi aje nchini kuongoza maandamano.
2. Nyuma yake afuate Mbowe, Lissu, Mnyika na viongozi wa ngazi za juu.
3. Nyuma yao wafuate watoto wao.
4. Halafu kwa nyuma tufuate watanganyika wote.
Hii itasaidia sana maana polisi wataogopa kufyatua risasi, vinginevyo watu watauawa sana.
Mwisho: Mwakani CCM iweke candidate mwenye akili.