passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Wafaransa Walishauana,Usifikiri kwamba wao hizo Vurugu walikuwa wanajifunza kama Tanzania.Tanzania Kuandamana walikuwa wanajifunza,kuzuia maandamano nako walikuwa wanajifunza.Usifikiri tu kwamba nchi inafikia hatua hiyo iliyofikia UFARANSA bila kupitia hatua ya TANZANIA.Ukishaelewa hilo Ndipo utafahamu kwamba WAHUNI wapogo duniani na Hata Ufaransa ina wahuni sema tayari wana historia ya hizi mambo so wanaelewa zaidi.Maandamano ya ufaransa yanathibitisha kuwa mauaji ya tarehe 29/10/2025 nchini hayana uhalali wowote bali yamethibitisha tunaongozwa na wahuni wasio na huruma na binadamu.
Watu wamechoma vitu,wezi wameiba mali lakini hakuna mauaji ya halaiki.pia viongozi wa huko wanajua madhara ya mauaji wanajua damu hulipwa kwa damu, hawataki kulaaniwa kama hawa.Wanajua kuna namna bora zaidi ya kutatua migogoro ya namna hizi.
Anyway wauaji wa huku lazima walipie kama huyu kila siku gundu tu tangu aanze awamu hii."LET THE JUSTICE OF GOD BE UPON THESE BLOODY KILLERS AMEN"
Hivi wafaransa walifanya nini pale Mali,Algeria na Guinea kwa wana wa Afrika walikua unaukataa ukoloni?Maandamano ya ufaransa yanathibitisha kuwa mauaji ya tarehe 29/10/2025 nchini hayana uhalali wowote bali yamethibitisha tunaongozwa na wahuni wasio na huruma na binadamu.