Maandamano ya vijana wa kizazi kipya (Gen Z) nchini Nepal yaligeuka ya vurugu zaidi Jumanne, baada ya waziri wa sasa wa Mambo ya Nje, Arzu Rana Deuba, na mumewe, waziri mkuu wa zamani mara nne, Sher Bahadur Deuba, kushambuliwa vibaya jijini Kathmandu. Waandamanaji walivamia makazi ya Deuba na...