Maandamano ya vijana Kenya yamepoteza uelekeo na hayana maana tena

Maandamano ya vijana Kenya yamepoteza uelekeo na hayana maana tena

East Africa uprising wakenya wameanza sasa ni zamu yetu
Hongera wakenya mmeonyesha nguvu ya umma

Inakuwaje wananchi hawasikilizwi

Nadhani ni zamu yetu kwenda kumchomoa betina
Cha kwanza ni kuiba ule mwenge pili kumtafuta yule betina mwenye kusimamia mijadala mibovu bungeni!
 
Umetumwa na ubalozi wa Kenya.
Hata hivyo umefikisha ujumbe vyema
nipo nyeri,

muandamanaji moja walipofanikiwa kuvunja supermarket akaanza kufakamia mikate na juice, akashiba jupindukia, sijui alikua na njaa sana dah,

wamemkamata kiulaini kama chatu kameza mbuzi:pedroP:
 
East Africa uprising wakenya wameanza sasa ni zamu yetu
Hongera wakenya mmeonyesha nguvu ya umma

Inakuwaje wananchi hawasikilizwi

Nadhani ni zamu yetu kwenda kumchomoa betina
wakenya wameanza na wamemaliza ghafla sana, dah:pedroP:
 
Tanzania tukimbizeni Mwenge tu ili ukamulike penye chuki na kuleta matumaini pasipo na matumaini. Mengine hatuyawezi 😁😁😁

images.jpeg-3.jpg
 
Ni kama vile hofu imekutawala! Muwashukuru policcm. Kinyume na hapo, shughuli ingekuwa ni pevu kwa upande wenu.
sure,
hofu ya matusi na kutukanwa imetanda kila kona kutokana na mihemko isiyo na tija mnayoionyesha kwenye koments na reply zenyu:pedroP:
 
Tena kama wewe na lucas mwashambwa ndio tutawabaka kabisa.
gentleman kuwa na heshma kidogo tu kwa viongozi wako hutapungukiwa kitu,

na itakusaidia, ila sio muhimu sana kwangu japo ni ustaarabu wa kiTanzania kuheshimiana :pulpTRAVOLTA:
 
Mfano mdogo tu kwenye finance bill yetu naomba aliesoma akaielewa anielemishe mpango mkakati uilopo kuongeza pato la nchi effectively kupitia

1. Hifadhi za kitalii
2. Madini
3. Gesi
4. Maziwa
5. Bahari
6. Makamaa ya mawe
7. Misitu
8. Ardhi iliyopo hasa fertile land
9. Nchi kukaa sehemu ya kimkakati ina uwezo wa kuhudumia nchi 6 za land lockwd countries kuzalisha matrilion ya shilingi.

Naomba kujua kama vina msukumo wa kutosha, tofauti na kukandamizia focus kwenye tozo na kodi kwa wananchi.
 
Mpaka sasa
Kipindi Cha kwanza
Generation Z 2-0 Kenya government.
imeisha ghafla sana,

wazazi wanajuta kuwapa fare ya maji wanao wakaandamane kwa amani halafu wanaharibu na kupora vitu vya watu na umma amabavyo watavilipa wenyewe kwa kodi, sasa hiyo ni akili au mihemko?:pedroP:
 
Mfano mdogo tu kwenye finance bill yetu naomba aliesoma akaielewa anielemishe mpango mkakati uilopo kuongeza pato la nchi effectively kupitia

1. Hifadhi za kitalii
2. Madini
3. Gesi
4. Maziwa
5. Bahari
6. Makamaa ya mawe
7. Misitu
8. Ardhi iliyopo hasa fertile land
9. Nchi kukaa sehemu ya kimkakati ina uwezo wa kuhudumia nchi 6 za land lockwd countries kuzalisha matrilion ya shilingi.

Naomba kujua kama vina msukumo wa kutosha, tofauti na kukandamizia focus kwenye tozo na kodi kwa wananchi.
gentleman,
you have raised a very sensitive issue...

but,
I think let it be the topic for other day if you don"t mind...

lets us all focus on the motion l have tabled before this platform first:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom