Maandamano ya waisilimu yakosa baraka za polisi

Maandamano ya waisilimu yakosa baraka za polisi

Status
Not open for further replies.
ipo lakini ina kanuni na masharti ya kisheria,kanuni na utaratibu.hivi mimi sipingani navyo lakini ninachoshauri ni kwamba ni vizuri kama maandamano yakawa rational.

Good grief! Maandamano rational ndio yapi?
 
Kweli hawa jamaa ni wa vijiweni, yaani leo ni siku ya kazi lakini wao wana muda wa kuandamana!!!!!

Lazima wazuiliwe ili wakafanye kazi, acheni kunywa kahawa vijiweni na kutengeneza hoja zisizo na msingi.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
leo nimekuta hapa oficini kwangu madereva wanajadili eti kwanini ponda anyimwe dhamanawakati

1.lulu alimuua kanumba akapewa dhamana
2.ditopile mzuzuri alimuua dereva wa daladala akapewa dhamana .jedhamana ni kwa wakristo tu ?????????
3.mtikila hakai ndani anapewa dhamana
​nimesikiliza nikasikitik sanasana
Usisikitike mkuu...huu ni ujinga ambao wakikutanaga wanajazana sana...
Kwao wanaita "ILIMU"
 
Tusichangie kwa ushabiki wa dini bali tujiulize wanaandama kwa jambo lipi na je lina tija na ulazimu wa hayo maandamano! Hekima tu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Good grief! Maandamano rational ndio yapi?
maandamano yanayofanywa kwa hoja madhubuti,za kueleweka, na yawe ndio njia bora zaidi kuliko nyengine, huku matokea yake yakiwa yanatarajiwa kuwa mema zaidi kuliko mabaya (faida kuliko hasara)
 
Yes maandamano yako pale pale tana hatusubiri kutangaziwa na maimamu wetu.Na kesho tutaonyesha mbinu mpya kabisa ya kuandamana tunawatahadharisha polisi,waulizeni wenzenu mtwara.Mbinu ya kesho haijawai kutumika katika maandamano yoyote hapa nchini.Mtaicheki kesho then mtatuambia kama ponda atatoka au hatoki.Tumevumilia miezi 4 tumechokoka sasa,hapa sasa lazima tutumie hadithi ya mtume dhuluma lazima iondolewe kwa mkono.
 
Wasiandamane wafanye tu matembezi.. Matembezi Hayahitaji ruksa. ..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom