simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
ipo lakini ina kanuni na masharti ya kisheria,kanuni na utaratibu.hivi mimi sipingani navyo lakini ninachoshauri ni kwamba ni vizuri kama maandamano yakawa rational.
Usisikitike mkuu...huu ni ujinga ambao wakikutanaga wanajazana sana...leo nimekuta hapa oficini kwangu madereva wanajadili eti kwanini ponda anyimwe dhamanawakati
1.lulu alimuua kanumba akapewa dhamana
2.ditopile mzuzuri alimuua dereva wa daladala akapewa dhamana .jedhamana ni kwa wakristo tu ?????????
3.mtikila hakai ndani anapewa dhamana
​nimesikiliza nikasikitik sanasana
maandamano yanayofanywa kwa hoja madhubuti,za kueleweka, na yawe ndio njia bora zaidi kuliko nyengine, huku matokea yake yakiwa yanatarajiwa kuwa mema zaidi kuliko mabaya (faida kuliko hasara)Good grief! Maandamano rational ndio yapi?