Maandamano ya walimu wapya!

snag

Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
18
Reaction score
1
UONGOZI WA VYUO VIKUU NA VYUO VYA UALIMU TANZANIA, VIKISHILIKIANA NA WAHITIMU WOTE WA NGAZI YA CHETI, STASHAHADA, NA SHAHADA PAMOJA NA WAZIRI KIVULI WA ELIMU:
Wanatangaza maandamano makubwa nchi nzima ya kupinga kuchelewa kwa ajira za walimu 2013/2014, maandamano hayo yataanza tarehe 26/ 2/ 2014 na kufikia kikomo pale tu waziri wa elimu atakapotangaza ajira kwa walimu. Hivyo kila mhitimu pamoja na wazalendo wote wanaoguswa na tatizo la uhaba wa walimu mashuleni, mnaombwa kushiriki kikamilifu maandamano hayo ambayo jaji mfawidhi na Hakimu makazi kisutu wameweka saini.Wahitimu wote na wadau wote wanaokerwa na uzembe wa wizara hii ,mkusanyike katika wilaya zenu kuanza maandamano, hii haiwatengi wale wenye supplimentary kwakuwa nao watapata ajira, kumbuka woga ndio dhambi kuu kuliko zote duniani:
 
UONGOZI WA VYUO VIKUU NA VYUO VYA UALIMU TANZANIA,
wameweka saini.Wahitimu wote na kwakuwa nao watapata ajira, kumbuka woga ndio dhambi kuu kuliko zote duniani:
Hamna akili na huyu kivuli wenu kuna watu wamemaliza 2009 hadi leo wanatafuta ajira itakuwa wewe ukiemaliza mwaka jana tena August.
 
mdai na salary kubwa kwan salary ni ndogo sana! mdai ipad/tablet na posho ya mazingira magumu.
 
Wasomi siku hizi majanga tu!ivi ukimaliza chuo au chuo cha ualimu lazima uajiliwe?KUNA MKATABA ULIOSAINI NA WIZARA KWAMBA BAADA YA KUMALIZA CHUO WATAKUAJIRI?WATU MWAKA WA 5 MTAANI HAWANA AJIRA NYIE MIEZ 10 TU MNATAKA KUANDAMANA,BASKAMA WAZARENDO JITOLEENI KUFUNDISHA BILA MSHAHARA.SIYO UKIMALIZA CHUO UAJIRIWE 'KUAJIRIWA NI MAAJALIWA'!!
 

You nailed it mkuu
 
Tatizo mnapokua chuo mnasahau kwamba uwa kuna maisha halisi ambayo yana kupata na kukosa! Lakini pia kunakitu kinaitwa kujipanga! nyie mmemaliza chuo toka mwaka jana mwezi kama wa saba hivi! mkasubiri matokeo mpaka mwezi wa kuminamoja mkafanya graduation! kipindi hicho chote msomi umekaa unasubiri ajira ya serikali,haukujua kuwa unaweza ukaikosa hiyo ajira? haukuwa na plan B,C au D? hivi mnafikiri maisha ya ualimu ni yale ya kula bum, club sana, no responsibilities just you and your girlfriend or friends?

kama graduate kulingana na hali halisi ya nchi yetu (mipango na sera mbovu) ulipaswa kujipanga mapema! mnadanganyana hakuna dhambi mbaya kama uoga it is true mnacho kisema but uoga kwenye nini? kuandamana ndo utapewa ajira? nchi bado ina mpango ovyo ambayo haitekelezeki. Ushauri kwa wale wa masomo ya arts mjiandae kisaikolojia! na wengi wenu surprisingly msishangae mkazikosa hizo ajira!
 


Unaongea usiyoyajua, kaa kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…