UONGOZI WA VYUO VIKUU NA VYUO VYA UALIMU TANZANIA, VIKISHILIKIANA NA WAHITIMU WOTE WA NGAZI YA CHETI, STASHAHADA, NA SHAHADA PAMOJA NA WAZIRI KIVULI WA ELIMU:
Wanatangaza maandamano makubwa nchi nzima ya kupinga kuchelewa kwa ajira za walimu 2013/2014, maandamano hayo yataanza tarehe 26/ 2/ 2014 na kufikia kikomo pale tu waziri wa elimu atakapotangaza ajira kwa walimu. Hivyo kila mhitimu pamoja na wazalendo wote wanaoguswa na tatizo la uhaba wa walimu mashuleni, mnaombwa kushiriki kikamilifu maandamano hayo ambayo jaji mfawidhi na Hakimu makazi kisutu wameweka saini.Wahitimu wote na wadau wote wanaokerwa na uzembe wa wizara hii ,mkusanyike katika wilaya zenu kuanza maandamano, hii haiwatengi wale wenye supplimentary kwakuwa nao watapata ajira, kumbuka woga ndio dhambi kuu kuliko zote duniani: