100%Ukiwasikiliza muda huu wanasema wazi wazi.
Wanasema “Leo watu walibanwa ndo maana hajatoka mtu.”
Wanajijua wapo wachache mno ila wanategemea vikundi vya watu wasio na hatia waingia na kuleta vurugu ili walinda amani wakivamia kikundi waonekane wana supporters wengi
Kama mwizi anavyochoropoka kuingia kwenye mitaa yenye watu wengi akijua wingi watu utafanya asidakwe kirahisi.
Kama kweli wanaharakati wapo wengi leo wote wangetoka tuone uhalisia wa kundi lao, lakini walivyoona mitaa haina watu wakaufyata na kuanza kurusha clip eti Mwanza hivi, Tegeta kile kumbe UONGO MTUPU.
Kama kweli mpo wengi wenye movement zenu leo mgetoka bila kujali kuwa wananchi wengine wametoka au la. Mkabaki kuandamana online na account zenu kumi kumi.
Plan ilikuwa wauawe wengi ili maiti za ndugu zetu iwe leverage yenu ya kisiasa laki mmefeli.
HUU NDO UKARASA WA MWISHO WA MAANDAMANO TANZANIA. BAADA YA LEO MSIJIDANGANYE TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA
Whistleblowing.Nini kifanyike kukomesha Mauaji, Utekaji,Ufisadi?
Hapa ndio nimeelewa Sasa wewe ni kichwa boga, unazungumzia PCCB? Wallah hii nchi ina vilaza na tumeshingia Kwenye failed state sijui tutatokaje Kwa akili hizi nimechoka kabisa.Whistleblowing.
Kama una ushahidi wa utekaji, ufosadi, uuaji weka hadharani. Kama bosi wako ni fisadi weka nyaraka wazi pamoja kupeleka PCCB hata anonymous submission tuone kama halitafanyiwa kazi.
Shida ya wabongo tuhumu nyingi bila ushahidi. Tuencourage whistleblowers ndio utajua kama taasisi za serikali zinafanya kazi au la
Kwahiyo wewe option yako ni kuichoma nchi halafu unamweka nani?Hapa ndio nimeelewa Sasa wewe ni kichwa boga, unazungumzia PCCB? Wallah hii nchi ina vilaza na tumeshingia Kwenye failed state sijui tutatokaje Kwa akili hizi nimechoka kabisa.
Kazi ipo.Whistleblowing.
Kama una ushahidi wa utekaji, ufosadi, uuaji weka hadharani. Kama bosi wako ni fisadi weka nyaraka wazi pamoja kupeleka PCCB hata anonymous submission tuone kama halitafanyiwa kazi.
Shida ya wabongo tuhumu nyingi bila ushahidi. Tuencourage whistleblowers ndio utajua kama taasisi za serikali zinafanya kazi au la
Whistleblowing.

Kama IQ ni kudhani kushinda barabarani ndo kutakupa maisha bora basi kwangu sina kabisaNonsense, unajiita TheGreatGenius ila kumbe ni low IQ.