Maandamano yaanza upya - Gen Z's Occupy Everywhere

Maandamano yaanza upya - Gen Z's Occupy Everywhere

Naipongeza serikali ya CCM kwa kuendeleza Umoja na Mshikamano, matunda tunayaona

Matunda ni pamoja na vijana hawaoni sababu ya kuandamana, vijana hawaoni sababu ya kujikwamua kutotka ktk matatizo yanayo wahusu bali ni mafundi wa kuelezea matatizo ya wengine šŸ˜‚
Nimebubujikwa na machozi ya furaha kwa hii comment yako
 
Jana tu kuna mtu humu tumebishana nae nikamwambia Ruto hajui kucheza na akili za watu ww Umetoka kuwapoza kodi ulio taka uwakate umekataa mswaada wake hapo hapo unawaambia nitapunguza mishahara ya wafanyakazi wa kenya yaan unatia petrol kwenye kuni.Mm nasema Ruto hatoboi huu mwezi lazima kuna jambo tutashuhudia watamchomoa urais si mda mrefu
Nadhani yeye anategemea zaidi jeshi na polis. pamoja na tume
 
Ha
Mimi kama mtanzania natamani kuhamia Kenya kwa kuwa wakenya wameonesha kujitambua kwenye kudai haki tofauti na wtz.safi sana wakenya
Hamia

Kenya ndio nchi pekee Africa Mashariki na kati yenye uchaguzi huru na haki ambao huupati kokote eneo hili.

Kwa wanayofanya hao wahuni wanathibitisha kuwa mtu mweusi ni mpumbavu kupindukia na demokrasia haifai maana ntu mweusi hakubali kushndwa kupitia sanduku la kura.

Kama wao wanaungwa mkono na wakenya wengi wanaogopa nini kusuburi uchaguzi ujao wachukue nchi kupitia sanduku la kura?
Wanachofanya sasa ni kuiharibu nchi yao na pakitulia wataanza uoya kuijenga nchi yao.

Katika nchi hakuna kundi linaloweza kudai linaungwa mkono nchi nzima hivyo ili nchi ikae sawa suala la mazungumzo kati ya makundi mbalimbali halikwepeki.

Kenya hali ikiendeleq hivi kila kabila litajiunga kama kundi dhidi ya kabila lingine na hapo ndio utakuwa mwisho wa kenya. Deputy president Gachagua ameanza kumsihi Uhuru waungane kwa ajili ya naslahi ya wana mlima kenya maana yake wakikuyu; subiri mambo yakolee Mombasa nao warudishe upya lile vuguvugu la kujitenga,

Ila wasiote kukimbilia Tanganyika.
 
Jana tu kuna mtu humu tumebishana nae nikamwambia Ruto hajui kucheza na akili za watu ww Umetoka kuwapoza kodi ulio taka uwakate umekataa mswaada wake hapo hapo unawaambia nitapunguza mishahara ya wafanyakazi wa kenya yaan unatia petrol kwenye kuni.Mm nasema Ruto hatoboi huu mwezi lazima kuna jambo tutashuhudia watamchomoa urais si mda mrefu
Wakenya wanachochewa na watanzania ambao ni key board warriors waharibu nchi yao.

Hawa watanzania ambao baba wa taifa la kenya mzee Kenyatta aliwaita maiti ndio sasa wajifanye kushabikia vurugu za vijana wa kenya? Ya kwao yanawashinda leo wakawe waalimu wa kuwatabiria na kuwaelekeza wakenya.

Watanzania wanachojua ni mabishano ya simba na yanga, orodha ya wapenzi wa wasanii maarufu waliowahi kutembea nao na umbea basi, nje ya hayo hawajui kitu kwa uhalisia wake.

Rutto haondoki madarokani ng'o
 
Wakenya wanachochewa na watanzania ambao ni key board warriors waharibu nchi yao.

Hawa watanzania ambao baba wa taifa la kenya mzee Kenyatta aliwaita mait ndio sasa wajifanye kushabikia vurugu za vijana wa kenya? Ya kwao yanawashinda leo wakawe waalimu wa kuwatabiria na kuwaelekeza wakenya.

Watanzania wanachojua ni mabishano ya simba na yanga, orodha ya wapenzi wa wasanii maarufu waliowahi kutembea nao na umbea basi, nje ya hayo hawajui kitu kwa uhalisia wake.

Rutto haondoki madarokani ng'o
Sawa mke wa ruto
 
20240629_213703.jpg
 
Tunamshukuru Mheshimiwa Dr Ruto kwa kutoa billion 376 Kujenga ukuta soko la Eldoret
 
Kenya kimewaka upya. Nairobi na Waswahili wa pwani ya Kenya nao wamestuka sasa. Hawamtaki Jaba.

View: https://m.youtube.com/watch?v=VRos8A7ThPI&pp=ygUNa3RuIG5ld3MgbGl2ZQ%3D%3D

Kitendo Cha kukubali kurudisha muswada bungeni ni ushindi mkubwa kwa Genz Sasa Ruto anaondoka ikulu muda na WAKATI wowote alifanya kosa kubwa
 
Mimi kama mtanzania natamani kuhamia Kenya kwa kuwa wakenya wameonesha kujitambua kwenye kudai haki tofauti na wtz.safi sana wakenya
Imagine na tozo ya umeme wamejiamulia kupandisha bila taarifa tumenyamaza tu, watizii sisi ni wajinga sana
 
Kenya kimewaka upya. Nairobi na Waswahili wa pwani ya Kenya nao wamestuka sasa. Hawamtaki Jaba.

View: https://m.youtube.com/watch?v=VRos8A7ThPI&pp=ygUNa3RuIG5ld3MgbGl2ZQ%3D%3D

Kinachotokea Kenya kinaitwa class struggle where the not haves fight against the haves. The not haves believe that their problems are caused by the ruling class. Hao mnaowaita gen-z wanatoka katika familia za walala hoi. Huwezi kuta uzao wa akina Raila wfkilandalanda barabarani huku wakipigwa risasi. Bali ni masikini wajaribu kubadili mfumo wa maisha wa nchi yao.
 
Back
Top Bottom