Maandamano yameshafanikiwa kwa 99%. Kinachokosekana ni "Starter" tu

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Ukitaka ufanikiwe kwenye jambo lolote linalohusisha "MASS/HADHIRA", basi cha kwanza huwa ni "AWARENESS" ili uwe na mass ya kutosha.

Awareness ya Maandamano safari hii imefanikiwa kuifikia hadhira 99% ya nchi nzima.

Kinachokosekana mpaka sasa ni "Ignition/Mwako" tu. Au tuseme "Starter/Kianzilishi" tu. Lakini mambo mengine yako on point.

Hata kama watu hawatatoka (of which ndicho kinategemewa), lakini mbegu imeshapandwa na imewekewa mbolea ya kutosha. Kuna siku itatokea starter tu na moto mkali kama wa petroli utawaka.

Nchi nzima mwaka huu wananchi wanajua mchuano wa uchaguzi ni CCM vs MAANDAMANO.

Wa kulaumiwa katika hili ni cream ya uongozi yenyewe iliyopo hapo top layer.

Waliosaidia kuyapublish haya maandamano ni wao wao wenyewe, nani aliwaambia waanze kuyazungumzia kwenye majukwaa ya kampeni.

Ukipita vijiwe vya boda, kahawa, daladala nyimbo ya Roma ndiyo inayopigwa muda wote.

Hivi hapo juu kuna mtu anayetoaga mawazo yenye upembuzi yakinifu tofauti na mwenyekiti kweli? Au mwenyekiti ndiyo anapotoshwa?

Kwa kweli kama taifa tuna safari ndefu na ngumu sana hapo mbeleni!.

20251024_192119(1).jpg
 
Nabet million 1 hakutakuwa na maandamano. Yakitokea nitawapa hiyo pesa kuuguza majeraha.

NB: I'm neutral na wala sina chama hapa. Only an idiot would be hurt enough to attack. Although it's a democratic, free speech country, so, I won't stop you. Bring it on! Let's do this!
 
NB: I'm neutral na wala sina chama hapa. Only an idiot would be hurt enough to attack.
Wewe ni Malaya wa kisiasa unaye faidika na mafumo.

Maandamano yameshaanza kama unasubiri watu kuingia barabarani sahau

1.Songwe NYUMBA ya polisi imechomwa moto
2.Daktari la wapiga kura laibiwa Rombo
 
Masikini mkubwa wewe. Ungekuwa na hiyo Milioni moja James angefukuzwa shule? Si ungemlipia ada? Umeniudhi. Kichwa chako.
Hahaha, are you serious? Kama nimekuumiza by a little joke, je utaweza vumilia maumivu ya risasi za plastiki "rubber bullets", maji ya kuwasha na marungu kiasi cha ku-overwhelm FFU? Upo tayari kuvumilia maumivu ya kupoteza kila kitu na muelekeo wa maisha yako for the greater good? I doubt it.

Seriously, grow up and face reality.
 
Hizi ni dalili za uoga, maandamano bado na hayafanikiwi mpaka yafanyike.

Unasema hawatajitokeza kina nani na wewe utakuwa wapi?

Maandamano ni yetu sote nawe jiweke sehemu ya watakaotokea, siyo uanze kukatisha watu tamaa.

Kama haushiriki kaa kimya.
 
Wewe ni Malaya wa kisiasa unaye faidika na mafumo.

Maandamano yameshaanza kama unasubiri watu kuingia barabarani sahau

1.Songwe NYUMBA ya polisi imechomwa moto
2.Daktari la wapiga kura laibiwa Rombo
Hahaha, here's another idiot.
Did I hurt your feelings? Need a pat on the back maybe for your highly constructive, calculated response? Nyie watu ni watoto mliojaa tantrum judging by replies zenu zilizojaa emotions. My little joke didn't only infuriated you, it scared you.

Usiogope, it's all a ruse anyway.
 
Hizi ni dalili za uoga, maandamano bado na hayafanikiwi mpaka yafanyike.

Unasema hawatajitokeza kina nani na wewe utakuwa wapi?

Maandamano ni yetu sote nawe jiweke sehemu ya watakaotokea, siyo uanze kukatisha watu tamaa.

Kama haushiriki kaa kimya.
Oh, unaogopa kukatishwa tamaa ya kushiriki maandamano yatakayolikomboa taifa toka mikononi mwa tyrant muangamiza watu?

Kama nafsi inasita kufanya maamuzi then labda uko sahihi.
 
Hii ni very difficult na demanding mission ina hitaji utayari wa kila mtu siyo kikundi cha watu.

Nchi inakombolewa na sisi sote siyo kikundi.
 
Nabet million 1 hakutakuwa na maandamano. Yakitokea nitawapa hiyo pesa kuuguza majeraha.

NB: I'm neutral na wala sina chama hapa. Only an idiot would be hurt enough to attack. Although it's a democratic, free speech country, so, I won't stop you. Bring it on! Let's do this!
Hakuna kitu kibaya kama kuishi kwa kukariri.
 
Hii ni very difficult na demanding mission ina hitaji utayari wa kila mtu siyo kikundi cha watu.

Nchi inakombolewa na sisi sote siyo kikundi.
Very optimistic, but reality would prefer to differ.
 
Ukitaka ufanikiwe kwenye jambo lolote linalohusisha "MASS/HADHIRA", basi cha kwanza huwa ni "AWARENESS" ili uwe na mass ya kutosha.

Awareness ya Maandamano safari hii imefanikiwa kuifikia hadhira 99% ya nchi nzima.

Kinachokosekana mpaka sasa ni "Ignition/Mwako" tu. Au tuseme "Starter/Kianzilishi" tu. Lakini mambo mengine yako on point.

Hata kama watu hawatatoka (of which ndicho kinategemewa), lakini mbegu imeshapandwa na imewekewa mbolea ya kutosha. Kuna siku itatokea starter tu na moto mkali kama wa petroli utawaka.

Nchi nzima mwaka huu wananchi wanajua mchuano wa uchaguzi ni CCM vs MAANDAMANO.

Wa kulaumiwa katika hili ni cream ya uongozi yenyewe iliyopo hapo top layer.

Waliosaidia kuyapublish haya maandamano ni wao wao wenyewe, nani aliwaambia waanze kuyazungumzia kwenye majukwaa ya kampeni.

Ukipita vijiwe vya boda, kahawa, daladala nyimbo ya Roma ndiyo inayopigwa muda wote.

Hivi hapo juu kuna mtu anayetoaga mawazo yenye upembuzi yakinifu tofauti na mwenyekiti kweli? Au mwenyekiti ndiyo anapotoshwa?

Kwa kweli kama taifa tuna safari ndefu na ngumu sana hapo mbeleni!.

View attachment 3493149
Nadhuka hapa shekilango
 
Very optimistic, but reality would prefer to differ.
The day is yet to come; you need to be ready, not waiting for others to come first.

JItokeze eneo lako kutakuwa na watu, hatujali jinsia wala umri.

Sema tujitokeze, kumbuka siku hiyo hata JF haitakuwa hewani kabisa, kama unajiandaa kutuangalia online hautapata hiyo luxury.
 
Hii ni very difficult na demanding mission ina hitaji utayari wa kila mtu siyo kikundi cha watu.

Nchi inakombolewa na sisi sote siyo kikundi.
Mkusanyiko ukifikia critical mass tutasema mengine hapa.We came,we saw ,we conquered.
 
The day is yet to come; you need to be ready, not waiting for others to come first.

JItokeze eneo lako kutakuwa na watu, hatujali jinsia wala umri.

Sema tujitokeze, kumbuka siku hiyo hata JF haitakuwa hewani kabisa, kama unajiandaa kutuangalia online hautapata hiyo luxury.
Shutting down the internet isn't a problem. I'll wake up early, first step, and witness you guys LIVE right there on my TV.
 
Back
Top Bottom