Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Masikini wewe huna hela, nyamaza.Nabet million 1 hakutakuwa na maandamano. Yakitokea nitawapa hiyo pesa kuuguza majeraha.
Masikini mkubwa wewe. Ungekuwa na hiyo Milioni moja James angefukuzwa shule? Si ungemlipia ada? Umeniudhi. Kichwa chako.Nabet million 1 hakutakuwa na maandamano. Yakitokea nitawapa hiyo pesa kuuguza majeraha.
Andamana and I might prove you wrong if you survive.Masikini wewe huna hela, nyamaza.
Wewe ni Malaya wa kisiasa unaye faidika na mafumo.Nabet million 1 hakutakuwa na maandamano. Yakitokea nitawapa hiyo pesa kuuguza majeraha.
NB: I'm neutral na wala sina chama hapa. Only an idiot would be hurt enough to attack.
Hahaha, are you serious? Kama nimekuumiza by a little joke, je utaweza vumilia maumivu ya risasi za plastiki "rubber bullets", maji ya kuwasha na marungu kiasi cha ku-overwhelm FFU? Upo tayari kuvumilia maumivu ya kupoteza kila kitu na muelekeo wa maisha yako for the greater good? I doubt it.Masikini mkubwa wewe. Ungekuwa na hiyo Milioni moja James angefukuzwa shule? Si ungemlipia ada? Umeniudhi. Kichwa chako.
Hahaha, here's another idiot.Wewe ni Malaya wa kisiasa unaye faidika na mafumo.
Maandamano yameshaanza kama unasubiri watu kuingia barabarani sahau
1.Songwe NYUMBA ya polisi imechomwa moto
2.Daktari la wapiga kura laibiwa Rombo
Oh, unaogopa kukatishwa tamaa ya kushiriki maandamano yatakayolikomboa taifa toka mikononi mwa tyrant muangamiza watu?Hizi ni dalili za uoga, maandamano bado na hayafanikiwi mpaka yafanyike.
Unasema hawatajitokeza kina nani na wewe utakuwa wapi?
Maandamano ni yetu sote nawe jiweke sehemu ya watakaotokea, siyo uanze kukatisha watu tamaa.
Kama haushiriki kaa kimya.
Hii ni very difficult na demanding mission ina hitaji utayari wa kila mtu siyo kikundi cha watu.Oh, unaogopa kukatishwa tamaa ya kushiriki maandamano yatakayolikomboa taifa toka mikononi mwa tyrant muangamiza watu?
Kama nafsi inasita kufanya maamuzi then labda uko sahihi.
Hakuna kitu kibaya kama kuishi kwa kukariri.Nabet million 1 hakutakuwa na maandamano. Yakitokea nitawapa hiyo pesa kuuguza majeraha.
NB: I'm neutral na wala sina chama hapa. Only an idiot would be hurt enough to attack. Although it's a democratic, free speech country, so, I won't stop you. Bring it on! Let's do this!
Very optimistic, but reality would prefer to differ.Hii ni very difficult na demanding mission ina hitaji utayari wa kila mtu siyo kikundi cha watu.
Nchi inakombolewa na sisi sote siyo kikundi.
Obviously.Hakuna kitu kibaya kama kuishi kwa kukariri.
Nadhuka hapa shekilangoUkitaka ufanikiwe kwenye jambo lolote linalohusisha "MASS/HADHIRA", basi cha kwanza huwa ni "AWARENESS" ili uwe na mass ya kutosha.
Awareness ya Maandamano safari hii imefanikiwa kuifikia hadhira 99% ya nchi nzima.
Kinachokosekana mpaka sasa ni "Ignition/Mwako" tu. Au tuseme "Starter/Kianzilishi" tu. Lakini mambo mengine yako on point.
Hata kama watu hawatatoka (of which ndicho kinategemewa), lakini mbegu imeshapandwa na imewekewa mbolea ya kutosha. Kuna siku itatokea starter tu na moto mkali kama wa petroli utawaka.
Nchi nzima mwaka huu wananchi wanajua mchuano wa uchaguzi ni CCM vs MAANDAMANO.
Wa kulaumiwa katika hili ni cream ya uongozi yenyewe iliyopo hapo top layer.
Waliosaidia kuyapublish haya maandamano ni wao wao wenyewe, nani aliwaambia waanze kuyazungumzia kwenye majukwaa ya kampeni.
Ukipita vijiwe vya boda, kahawa, daladala nyimbo ya Roma ndiyo inayopigwa muda wote.
Hivi hapo juu kuna mtu anayetoaga mawazo yenye upembuzi yakinifu tofauti na mwenyekiti kweli? Au mwenyekiti ndiyo anapotoshwa?
Kwa kweli kama taifa tuna safari ndefu na ngumu sana hapo mbeleni!.
View attachment 3493149
The day is yet to come; you need to be ready, not waiting for others to come first.Very optimistic, but reality would prefer to differ.
Mkusanyiko ukifikia critical mass tutasema mengine hapa.We came,we saw ,we conquered.Hii ni very difficult na demanding mission ina hitaji utayari wa kila mtu siyo kikundi cha watu.
Nchi inakombolewa na sisi sote siyo kikundi.
Shutting down the internet isn't a problem. I'll wake up early, first step, and witness you guys LIVE right there on my TV.The day is yet to come; you need to be ready, not waiting for others to come first.
JItokeze eneo lako kutakuwa na watu, hatujali jinsia wala umri.
Sema tujitokeze, kumbuka siku hiyo hata JF haitakuwa hewani kabisa, kama unajiandaa kutuangalia online hautapata hiyo luxury.