A coup starts on the national TV. You won't be able to see us; it will be under the control of the revolutionaries.Shutting down the internet isn't a problem. I'll wake up early, first step, and witness you guys LIVE right there on my TV.
Kumbuka tunahitaji foot on the ground siyo washangiliaji kwenye tv.Mkusanyiko ukifikia critical mass tutasema mengine hapa.We came,we saw ,we conquered.
You sound suspicious. Did they hire you to convince anyone who's actually smart enough to go there and throw them inside the black car?A coup starts on the national TV. You won't be able to see us; it will be under the control of the revolutionaries.
Wewe jitokeze tuongeze nguvu, acha uoga.
Maandamano ya umma no one is hired to do anything, tunaitaji kila mtu ashiriki.You sound suspicious. Did they hire you to convince anyone who's actually smart enough to go there and throw them inside the black car?
Hizi Bange za mapema wakati wa kubalehe zinaharibu sana akili za watu.NB: I'm neutral na wala sina chama hapa. Only an idiot would be hurt enough to attack. Although it's a democratic, free speech country, so, I won't stop you. Bring it on! Let's do this!
Hizi Bange za mapema wakati wa kubalehe zinaharibu sana akili za watu.
Hayo maneno yanaleta mantiki yoyote ukiyasoma bila ya hizo bangi kichwani?
Hujamuelewa kabisa mleta hoja. Soma tena uelewe alochomaanisha.Nabet million 1 hakutakuwa na maandamano. Yakitokea nitawapa hiyo pesa kuuguza majeraha.
NB: I'm neutral na wala sina chama hapa. Only an idiot would be hurt enough to attack. Although it's a democratic, free speech country, so, I won't stop you. Bring it on! Let's do this!
Nimemuelewa. My comment is sarcastic and no one seems to have a sense humour.Hujamuelewa kabisa mleta hoja. Soma tena uelewe alochomaanisha.
Tatizo akili akili akili ...starter zikijitokeza wenyewe waandaa maandamano wanashindwa kuzitambua na kujua cha kufanya ...kama majuzi chadema wametaja alipo mtu wao chini ya polisi wakati polisi waligoma kutaja .....chadema wanajivurugaga wenyewe.Ukitaka ufanikiwe kwenye jambo lolote linalohusisha "MASS/HADHIRA", basi cha kwanza huwa ni "AWARENESS" ili uwe na mass ya kutosha.
Awareness ya Maandamano safari hii imefanikiwa kuifikia hadhira 99% ya nchi nzima.
Kinachokosekana mpaka sasa ni "Ignition/Mwako" tu. Au tuseme "Starter/Kianzilishi" tu. Lakini mambo mengine yako on point.
Hata kama watu hawatatoka (of which ndicho kinategemewa), lakini mbegu imeshapandwa na imewekewa mbolea ya kutosha. Kuna siku itatokea starter tu na moto mkali kama wa petroli utawaka.
Nchi nzima mwaka huu wananchi wanajua mchuano wa uchaguzi ni CCM vs MAANDAMANO.
Wa kulaumiwa katika hili ni cream ya uongozi yenyewe iliyopo hapo top layer.
Waliosaidia kuyapublish haya maandamano ni wao wao wenyewe, nani aliwaambia waanze kuyazungumzia kwenye majukwaa ya kampeni.
Ukipita vijiwe vya boda, kahawa, daladala nyimbo ya Roma ndiyo inayopigwa muda wote.
Hivi hapo juu kuna mtu anayetoaga mawazo yenye upembuzi yakinifu tofauti na mwenyekiti kweli? Au mwenyekiti ndiyo anapotoshwa?
Kwa kweli kama taifa tuna safari ndefu na ngumu sana hapo mbeleni!.
View attachment 3493149
3.Kituo cha kupiga kura cha chomwa moto RukwaWewe ni Malaya wa kisiasa unaye faidika na mafumo.
Maandamano yameshaanza kama unasubiri watu kuingia barabarani sahau
1.Songwe NYUMBA ya polisi imechomwa moto
2.Daktari la wapiga kura laibiwa Rombo
Wakitaka wafanikiwe ni kuzuia wale wanaotoka kwenda kupiga kura yaani sio wao watokee barabarani.Ukitaka ufanikiwe kwenye jambo lolote linalohusisha "MASS/HADHIRA", basi cha kwanza huwa ni "AWARENESS" ili uwe na mass ya kutosha.
Awareness ya Maandamano safari hii imefanikiwa kuifikia hadhira 99% ya nchi nzima.
Kinachokosekana mpaka sasa ni "Ignition/Mwako" tu. Au tuseme "Starter/Kianzilishi" tu. Lakini mambo mengine yako on point.
Hata kama watu hawatatoka (of which ndicho kinategemewa), lakini mbegu imeshapandwa na imewekewa mbolea ya kutosha. Kuna siku itatokea starter tu na moto mkali kama wa petroli utawaka.
Nchi nzima mwaka huu wananchi wanajua mchuano wa uchaguzi ni CCM vs MAANDAMANO.
Wa kulaumiwa katika hili ni cream ya uongozi yenyewe iliyopo hapo top layer.
Waliosaidia kuyapublish haya maandamano ni wao wao wenyewe, nani aliwaambia waanze kuyazungumzia kwenye majukwaa ya kampeni.
Ukipita vijiwe vya boda, kahawa, daladala nyimbo ya Roma ndiyo inayopigwa muda wote.
Hivi hapo juu kuna mtu anayetoaga mawazo yenye upembuzi yakinifu tofauti na mwenyekiti kweli? Au mwenyekiti ndiyo anapotoshwa?
Kwa kweli kama taifa tuna safari ndefu na ngumu sana hapo mbeleni!.
View attachment 3493149
starter itakuwa jeshi la polisi. Mark my manenoUkitaka ufanikiwe kwenye jambo lolote linalohusisha "MASS/HADHIRA", basi cha kwanza huwa ni "AWARENESS" ili uwe na mass ya kutosha.
Awareness ya Maandamano safari hii imefanikiwa kuifikia hadhira 99% ya nchi nzima.
Kinachokosekana mpaka sasa ni "Ignition/Mwako" tu. Au tuseme "Starter/Kianzilishi" tu. Lakini mambo mengine yako on point.
Hata kama watu hawatatoka (of which ndicho kinategemewa), lakini mbegu imeshapandwa na imewekewa mbolea ya kutosha. Kuna siku itatokea starter tu na moto mkali kama wa petroli utawaka.
Nchi nzima mwaka huu wananchi wanajua mchuano wa uchaguzi ni CCM vs MAANDAMANO.
Wa kulaumiwa katika hili ni cream ya uongozi yenyewe iliyopo hapo top layer.
Waliosaidia kuyapublish haya maandamano ni wao wao wenyewe, nani aliwaambia waanze kuyazungumzia kwenye majukwaa ya kampeni.
Ukipita vijiwe vya boda, kahawa, daladala nyimbo ya Roma ndiyo inayopigwa muda wote.
Hivi hapo juu kuna mtu anayetoaga mawazo yenye upembuzi yakinifu tofauti na mwenyekiti kweli? Au mwenyekiti ndiyo anapotoshwa?
Kwa kweli kama taifa tuna safari ndefu na ngumu sana hapo mbeleni!.
View attachment 3493149
Unfortunately, it was more than injuries.Masikini wewe huna hela, nyamaza.