TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Nipo viwanja vya sabasaba hapa Dar,polisi wametanda wengi sana nje na magari yao na majibwa ndani 95% nawaona ni wahudumu tu ,kupita getini unapekuliwa sana hasa ukiwa kijana kama mm sema mimi nimevaa kwa code ngumu na sina chochote.
Bado sijaona mobilization kwa sasa mpaka nipate uhakika wa kulianzisha,bado nazungukazunguka.
Bado sijaona mobilization kwa sasa mpaka nipate uhakika wa kulianzisha,bado nazungukazunguka.