Pre GE2025 Maandamano yasizuiwe yanasaidia watawala kuona hali halisi ya mambo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

LUS0MYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
866
Reaction score
1,109
Hakuna kitu kibaya cha kuzuia zuia uhuru wa watu wenye mawazo mbadala kwani ni mara chache sana ndani ya serikali kujua vitu hasi kwani watendaji huona kama ni uzembe wao kwa mamlaka...hii zuia zuia inaweza kufika mahali ambapo hali halisi itajulikana kwa mamlaka wakati muda wa kujisahihisha unakuwa haupo....
 
Mara ya mwisho niliandamana 2004 nikiwa UDSM. kesho nitakuwepo kuunga mkono maandamano
 
Hakuna kitu kibaya cha kuzuia zuia uhuru wa watu wenye mawazo mbadala kwani ni mara chache sana ndani ya serikali kujua vitu hasi kwani watendaji huona kama ni uzembe wao kwa mamlaka...hii zuia zuia inaweza kufika mahali ambapo hali halisi itajulikana kwa mamlaka wakati muda wa kujisahihisha unakuwa haupo....
Naunga mkono hoja tulishauri Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu tumesikilizwa, maandamano ya kesho yameruhusiwa.
P
 
Nchi ni yetu sote,

CDM waandamane kama ambavyo CCCM wanaandamana.
 
Yanayofuata yawe Ni kwenda wizara ya katiba na sheria
 
Back
Top Bottom