Maandamo ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa CCM ni sasa

😅😅😅ila kweli
 
Unaongelea hao wasaka tonge? Shame on you. Tutapambana humo humo CCM na tutawaondoa wapende wasipende. Siwezi kuwa mshabiki wa chama cha ukoo. Ukoo wenyewe wa panya.
 
Suzy, lianzishe tutakuja kukuunga mkono. Kuitisha mandamano na kuingia mitini kama mr #dishlimetilt hatutaki. Anayeitisha mandamano awe tayari kuwa frontline.
 
Angalia unachoandika. Hii ni Tanzania nchi yenye taasisi imara za dola. Fanya kazi jenga familia yako na Taifa mengine fuata sheria![emoji120][emoji120][emoji120]
Taasisi imara za dola zilimuacha sabaya atambe atakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…