Maandazi ya mtindi

Maandazi ya mtindi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
MAHITAJI
yogurt vijiko 2vya chakula
sukari 1/4 mug
hamira kijiko kimoja cha chai
iliki kijiko kimoja cha chai
samli kijiko kimoja cha chakula
unaweza tumia,maji/maziwa/nazi yapime katika mug uliyopimia sukari
ponda hadi unga wako uwe mlaini kiasi,katakata matonge,sukuma kata maandazi yako
yaache yaumuke yachome.
unaweza kutumia maharage,mchuzi wa nyama,maini,samaki kama kitoeo.

sasa ndugu hivyo vipimo,kwa unga kiasi gani
 
I see.......nitayajaribisha pia. Sasa hivo vijiko viwili tu vya mtindi kwa unga kiasi gani?
 
Hapa nimeshapata somo, baadae naingia mzigoni niangalie kama somo limeniingia vilivyo.
 
wapare humu ndani wanafaidi kweli, hapo na mug ya chai ya rangi na picha ya maandazi aaah siku inapita!
 
ahsante, kama mtindi ni mchachu nahis yatakua matamu zaid
 
Back
Top Bottom