SoC04 Maandiko ya Story of Change yanaafiki hitaji la mfumo wa elimu wa nchi 2025-2030

SoC04 Maandiko ya Story of Change yanaafiki hitaji la mfumo wa elimu wa nchi 2025-2030

Tanzania Tuitakayo competition threads
Joined
May 19, 2024
Posts
10
Reaction score
7
download (3).jpg

Toka mtandaoni

UTANGULIZI
Nchini Tanzania, Swala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, wala kutumia nguvu kubwa katka kunadi sera za elimu pekee bali tunahitaji kufanya mchunganuo na uchambuzi bali nguvu ielekezwe kwenye utekekezaji wake ili kuleta matokeo chanya kila mwaka na ni nini kifanyike ili kuleta kapinduzi ya kweli
(Mr Mwanzo 05. 2024)

Mfumo wa Elimu uliopo hauandai mtoto wa kitanzania kwa ajili ya kuwa hazina ya Taifa la kesho kutokana na mtaala ukiopo hauna dira bora kwa ajili ya Taifa tulitakalo kwa sababu huwaandai watoto wetu kwenye ubora unaotakiwa.
(Kabodion Mamkwe May 23.2024)

Tanzania kama nchi zinginetunakabiliwa na changamoto za kimfumo wa elimu kuzingatia badiliko la kiuchumi na technolojia Kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu
( Janma May 2.2024)

MIUNDOMBINU YA ELIMU

1. Madarasa Bora na ya kisasa

Ili kuwatengenezea vijana wetu mazingira bora na salama ya kujisomea yaliyo na nyenzo muhimu kama viti, meza, floor na paa zuri na madirisha yenye hewa nzuri wanapokuwa darasani.

download (8).jpg

Toka mtandaoni
2. Miundombinu ya kujifunzia
Library za vitabu na chumba cha Tehama ,vitabu vya kiada na ziada pamoja na Kumputer zilizo hifadhi program za kusomea na kutafuta maarifa kama Wikipedia, encyclopedia na hii iwe ni kwa ngazi zote Shule ya Msingi hadi Secondari

Maabara za vitendo
Serika itilie mkazo uwepo wa maabara kwa ajili ya vitendo za kisayansi na Sanaa Ili kuibua wasomo walio watafiti wangali wadogo na kukuza umahiri

download (4).jpg

Toka mtandaoni

3. Kuboresha maslahi ya nguvu kazi
Kuna ulazima mkubwa wa kuboresha maslahi ya waalimu katika mishahara, posho za mawasiliano, nauli na bonsai za utendaji kazi bora ili wawe wazalendo .
(Mr Mwanzo 05.2024)

Mfumo wa 6:4:2/3:3 Utumike
Vijana wetu wanatumia muda mwingi sana shule ya msingi na secondary wengi wanajikuta wanafikia umri wa kujitegemea bado wapo Secondari ambapo hata elimu ya kujimudu wanakuwa hawana na wanapo feliz inakuwa mzingo kwa wazazi.
( Mr Mwanzo 05.2024)

Wanafunzi wanapaswa kuandaliwa namana ya kuyafikia malengo yao
Niwazi ya kuwa 20% ya wanafunzi hawasomi kwa malengo ya kuakisi uhitaji wa Taifa asilimia 80% ukiwauliza unasoma kwa ajili Gani watasema ili wafaulu. Kuna haja ya muhimu ya kufuatilia uwezo wa wanafunzi na na vipaombele vyao pia iandaliwe mitaala na na vitabu vyenye kutoa mwanga kwa watoto kuhusu kazi.

Mitaala yote itumie lugha ya kiingereza kufundishia
Ili kuwaweka vijana wetu salama katika ushindani wa soko la ajira la ndani na nje wanafunzi wengi wa Tanzania wamekuwa wakifeli kupata fursa za scholarship kwa kufeli IELTS ukilinganisha na Kenya.
(Professor .A. Jackson. 05.062024)

Elimu ya Secondari ihusishwe Moja kwa moja na Viwanda
Vijana wetu wanapokuwa kidato Cha kwanza Hadi Cha nne wapatiwe mafunzo ya ufundi kama umeme, cherehani, komputa, magari fundi nyumba na fani zaidi ili kuongeza wingo wa wataal wa kati na kiongeza viwanda vidogo pamoja na kuondoa utegemezi Kwa familia na serikali watapomali elimu iyo na kushindwa kusonga mbele.
Professor .A.Jackson.05.06.2024)

Wanafunzi wa Shule za msingi na Secondari wafundishwe application za mada za hesabu wanazofundishwa
Ili kuleta hamasa kwa wanafunzi na waweze kupenda soma Hilo mfani application ya Statistics wanaweza kutumia Tehama zilizopo hapo kwa kutumia EXCEL.
(Kilio 23.052024)

Jamii ihusishwe katika elimu na iwe ni wajibu kisheria
download (7).jpg

Toka mtandaoni

Wazazi,Walezi jamaa, wahusike katika kuhakikisha maendeleo ya wanafunzi kuanzia tabia, maendeleo ya masomo ili kuleta usawa na usahih na iwe kote mjini na vijijini.
(Mr Mwanzo 05.2024)

Hitimisho
Niwazi ya kuwa Elime beba mustakabali wa nchi yetu basi tuwekeze Bora katika elimu n Kazi iendelee
Hii ndio Tanzania Tuitakayo 2025- 2030
 
Upvote 3
Back
Top Bottom