M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Jun 16, 2025 #1 Je wafungwa wasio na hadhi ya kitaifa wanatendewaje huki jela? Ikiwa public figure kama Lissu anatendewa namna hii, je wanyonge wasio na mbele wala nyuma?
Je wafungwa wasio na hadhi ya kitaifa wanatendewaje huki jela? Ikiwa public figure kama Lissu anatendewa namna hii, je wanyonge wasio na mbele wala nyuma?
M Makongodcrue JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,864 Reaction score 2,591 Jun 16, 2025 #2 Muuza Kangala said: Je wafungwa wasio na hadhi ya kitaifa wanatendewaje huki jela? Ikiwa public figure kama Lissu anatendewa namna hii, je wanyonge wasio na mbele wala nyuma? Click to expand... Halafu watu wanakuja hapa wanakwambia Tanzania kuna amani na haki
Muuza Kangala said: Je wafungwa wasio na hadhi ya kitaifa wanatendewaje huki jela? Ikiwa public figure kama Lissu anatendewa namna hii, je wanyonge wasio na mbele wala nyuma? Click to expand... Halafu watu wanakuja hapa wanakwambia Tanzania kuna amani na haki
Farolito JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 15,126 Reaction score 35,515 Jun 16, 2025 #3 Mkiambiwa nchi inaongozwa na Idd amini mama muelewe
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,954 Reaction score 7,007 Jun 16, 2025 #4 Hali ni mbaya sana,,sijui tume Ile ya Mh Rais ya haki Jinai iliishia wapi?