Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Fafanua usahihi wake kipindi hicho?Mada yako ilikuwa sahahi siku moja kabla Adam na Eva hawajamkataa Mungu.
Kama mamlaka hayo unayo niweke tu.Tutakuweka kwenye kundi la vichaa kwa sababu akili yako haifikiri sawa na sisi wenzio.
Mkeo akijifungua mtoto mwenye ulemavu, iwe ni upofu, kiwete nk unapaswa umshukuru Mungu.
Ukipata stroke upooze upande mmoja na ubaki kuwa mtu wa kugeuzwa kitandani unapaswa umshukuru Mungu.
...Kama Kuna maana nyingine ya neno UNAFIKI... Nitakuwa siifahamu.
Sijakataa lakini ile kusema tushukuru kwa kila jambo inatatiza mkuuShukuru bado uko hai maana ukifa mkewako tunamuoa hata kama umesema Nikifa MkeWangu Asiolewe
Shukrani/Gratitude ni jambo MUHIMU sio LAZIMA, unahimizwa ushukuru haulazimishwi, hata ukimpa mtu kitu au zawadi huwezi kumlazimisha "Bw. Alex nimekupa nyumba nishukuru sasa" ila akikushukuru utajisikia vizuri moyoni na utafurahi, asieshukuru utamwona mtu wa ajabu japo si lazima lakini ni muhimu.
Naweza kusema hili ndio jibu mkuu.Kushukuru ni hiari Yako ndio maana Mungu anakupa Kila hitaji lako hata kama hujashukuru Kwasababu anajua ni wajibu wake kukufanyia hivo, au mwezetu Kuna kitu Mungu alikunyima Kwasababu hukumushukuru.
Kushukuru mda mwingine ni kama kumtia moyo yule anayekupa kwamba unatambua thamani yake.
Mimi napenda kuuliza maswali ili niweze kujua na kufahamu zaidi ili ikitokea nami nimeuulizwa basi nijibu kwa ufasaha na kwa uzuri.
Bibilia inatukumbusha na kutuamru kushukuru kwa kila jambo yaani liwe zuri baya wewe shukuru tu.
Mtu anapata ajari mbaya sana na kupelekea kupoteza baadhi ya viungo bado anashukuru.
Sipingani na maandiko bali na uliza tu pia naomba tupitie mifano hii tuone kama kushukuru kwa kila jambo kuna mantiki au la!
Chukulia wewe umeamua kufuga mifugo iwe mbuzi, ng'ombe au kuku kwa vyovyote vile utake usitake upende usipende itakubidi hao mifugo uwahudumie mahitaji yao yote kwa 100% sio hisani ni lazima ufanye hivyo.
Usipofanya hivyo maana yake hao mifugo una watesa na hufai na hufai tena kuwa na hao viumbe.
Huwezi kutegemea eti kuku waandamane waje wakushukuru au kukupongeza kwa vile tu huwa unawapa maji au chakula kwa wakati hii itakuwa ni maajabu Na haiwezekani huwa ni wajibu wak na unatimiza wajibu wako.
Kutokufanya hivyo kuku na mbuzi wana haki kukupeleka mahakani ukawajibike kwa sababu hawa kukuomba uwafuge.
Sio sawa Diwani,mbunge,waziri na rais kumshukuru kwa sababu kaleta barabara,shule,zahanati,maji,umeme nk.
Kivyovyote atakavyo fanya huo ni wajibu wake na nilazima atimize wajibu maana ni yeye mwenyewe kwa hiari yake alijaza form na kuanza kujinadi kuwa atatatua hizo changamoto inakuwaje leo tena kodi yako igeuke kuwa hisani?
Hela ni yako na umemuajiri wewe ili akutumikie sasa mabango ya sifa na shukurani kedekede yanatoka wapi?
Mungu wa mbinguni katuumba yeye mwenyewe kwa hiari yake bila kushauliwa na kiumbe chochote kile akatuumba yeye mwenyewe kwa kupenda kabisa bila hiyana wala msukumo pasina ushawishi wa aiana yoyote ule.
Sasa inakuwaje tumshukuru kwa kutupa pumzi na vyote tunavyovitegemea?
Je akitunyima hewa si tutakufa? Kwanini atuumbe halafu ategemee tumuombe na kumshukuru?
anajua kabisa mvua ni muhimu kwa maisha ya viumbe wake na ndio maana akaiweka iwepo ikinyesha tukatoe na sadaka kumshukuru tena?
Ninacho fahamu mimi kila kitu kilichopo hapa duniani kinachotuhusu sisi wanadamu sio hisani yake kutupa ni lazima na ni muhimu atupe na atimize maana ni wajibu wake kufanya hivyo.
Hii kushukuru kwa kila jambo haijakaa sawa. Kwenye NDIO na iwe NDIYO na HAPANA iwe HAPANA.
Mtumishi leo umenena vyema wokovu upo malangoni pako.Biblia ni kitabu kilichoandikwa ku address situations nyingi tofauti. Unatakiwa kujua mistari ipi inatakiwa kutumika katika situation ipi.
Shukuruni kwa kila jambo ni saikolojia ya kujipa coping mechanism katika mazingira magumu ambayo huna la kufanya. Yani hata usiposhukuru unaweza kujipa stress bure tu, bora ushukuru
Umefiwa na mzazi kwa ugonjwa wa uzeeni ambao hauepukiki kwa umri wake, una uchungu sana, ni jambo ambalo huna control nalo.
Hapo ndipo shukuruni kwa kila jambo inapotumika kupoza maumivu.
Ila, kuna sehemu nyingine inabidi utumie "tafuteni mtapata, ombeni mtapewa, bisheni mtafunguliwa" hutakiwi kushukuru tu kwa kila jambo, unatakiwa kujiongwza.
Sasa unatakiwa kujua wapi ubatakiwa kushukuru kwa kila jambo, wapi uombe upewe, wapi ubishe ufungukiwe, wapi utafute upate.
Hapana.Mtumishi leo umenena vyema wokovu upo malangoni pako.
Una wokovu gani?Hapana.
Mimi ndiye mlango wa wokovu.
Kwanza kabisa, wokovu ni nini?Una wokovu gani?
Kwa maana Fadhili Zake ni za MileleMimi napenda kuuliza maswali ili niweze kujua na kufahamu zaidi ili ikitokea nami nimeuulizwa basi nijibu kwa ufasaha na kwa uzuri.
Bibilia inatukumbusha na kutuamru kushukuru kwa kila jambo yaani liwe zuri baya wewe shukuru tu.
Mtu anapata ajari mbaya sana na kupelekea kupoteza baadhi ya viungo bado anashukuru.
Sipingani na maandiko bali na uliza tu pia naomba tupitie mifano hii tuone kama kushukuru kwa kila jambo kuna mantiki au la!
Chukulia wewe umeamua kufuga mifugo iwe mbuzi, ng'ombe au kuku kwa vyovyote vile utake usitake upende usipende itakubidi hao mifugo uwahudumie mahitaji yao yote kwa 100% sio hisani ni lazima ufanye hivyo.
Usipofanya hivyo maana yake hao mifugo una watesa na hufai na hufai tena kuwa na hao viumbe.
Huwezi kutegemea eti kuku waandamane waje wakushukuru au kukupongeza kwa vile tu huwa unawapa maji au chakula kwa wakati hii itakuwa ni maajabu Na haiwezekani huwa ni wajibu wak na unatimiza wajibu wako.
Kutokufanya hivyo kuku na mbuzi wana haki kukupeleka mahakani ukawajibike kwa sababu hawa kukuomba uwafuge.
Sio sawa Diwani,mbunge,waziri na rais kumshukuru kwa sababu kaleta barabara,shule,zahanati,maji,umeme nk.
Kivyovyote atakavyo fanya huo ni wajibu wake na nilazima atimize wajibu maana ni yeye mwenyewe kwa hiari yake alijaza form na kuanza kujinadi kuwa atatatua hizo changamoto inakuwaje leo tena kodi yako igeuke kuwa hisani?
Hela ni yako na umemuajiri wewe ili akutumikie sasa mabango ya sifa na shukurani kedekede yanatoka wapi?
Mungu wa mbinguni katuumba yeye mwenyewe kwa hiari yake bila kushauliwa na kiumbe chochote kile akatuumba yeye mwenyewe kwa kupenda kabisa bila hiyana wala msukumo pasina ushawishi wa aiana yoyote ule.
Sasa inakuwaje tumshukuru kwa kutupa pumzi na vyote tunavyovitegemea?
Je akitunyima hewa si tutakufa? Kwanini atuumbe halafu ategemee tumuombe na kumshukuru?
anajua kabisa mvua ni muhimu kwa maisha ya viumbe wake na ndio maana akaiweka iwepo ikinyesha tukatoe na sadaka kumshukuru tena?
Ninacho fahamu mimi kila kitu kilichopo hapa duniani kinachotuhusu sisi wanadamu sio hisani yake kutupa ni lazima na ni muhimu atupe na atimize maana ni wajibu wake kufanya hivyo.
Hii kushukuru kwa kila jambo haijakaa sawa. Kwenye NDIO na iwe NDIYO na HAPANA iwe HAPANA.
Wokovu ni maisha mapya ambayo mtu anayapokea kwa imani baada ya kumwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yakeKwanza kabisa, wokovu ni nini?
Utawaliwe na wakoloni, hushukuru, ufanywe maskini na watawala website, hushukuru! Udhulumiwe mshahara na boss, hushukuru!Mimi napenda kuuliza maswali ili niweze kujua na kufahamu zaidi ili ikitokea nami nimeuulizwa basi nijibu kwa ufasaha na kwa uzuri.
Bibilia inatukumbusha na kutuamru kushukuru kwa kila jambo yaani liwe zuri baya wewe shukuru tu.
Mtu anapata ajari mbaya sana na kupelekea kupoteza baadhi ya viungo bado anashukuru.
Sipingani na maandiko bali na uliza tu pia naomba tupitie mifano hii tuone kama kushukuru kwa kila jambo kuna mantiki au la!
Chukulia wewe umeamua kufuga mifugo iwe mbuzi, ng'ombe au kuku kwa vyovyote vile utake usitake upende usipende itakubidi hao mifugo uwahudumie mahitaji yao yote kwa 100% sio hisani ni lazima ufanye hivyo.
Usipofanya hivyo maana yake hao mifugo una watesa na hufai na hufai tena kuwa na hao viumbe.
Huwezi kutegemea eti kuku waandamane waje wakushukuru au kukupongeza kwa vile tu huwa unawapa maji au chakula kwa wakati hii itakuwa ni maajabu Na haiwezekani huwa ni wajibu wak na unatimiza wajibu wako.
Kutokufanya hivyo kuku na mbuzi wana haki kukupeleka mahakani ukawajibike kwa sababu hawa kukuomba uwafuge.
Sio sawa Diwani,mbunge,waziri na rais kumshukuru kwa sababu kaleta barabara,shule,zahanati,maji,umeme nk.
Kivyovyote atakavyo fanya huo ni wajibu wake na nilazima atimize wajibu maana ni yeye mwenyewe kwa hiari yake alijaza form na kuanza kujinadi kuwa atatatua hizo changamoto inakuwaje leo tena kodi yako igeuke kuwa hisani?
Hela ni yako na umemuajiri wewe ili akutumikie sasa mabango ya sifa na shukurani kedekede yanatoka wapi?
Mungu wa mbinguni katuumba yeye mwenyewe kwa hiari yake bila kushauliwa na kiumbe chochote kile akatuumba yeye mwenyewe kwa kupenda kabisa bila hiyana wala msukumo pasina ushawishi wa aiana yoyote ule.
Sasa inakuwaje tumshukuru kwa kutupa pumzi na vyote tunavyovitegemea?
Je akitunyima hewa si tutakufa? Kwanini atuumbe halafu ategemee tumuombe na kumshukuru?
anajua kabisa mvua ni muhimu kwa maisha ya viumbe wake na ndio maana akaiweka iwepo ikinyesha tukatoe na sadaka kumshukuru tena?
Ninacho fahamu mimi kila kitu kilichopo hapa duniani kinachotuhusu sisi wanadamu sio hisani yake kutupa ni lazima na ni muhimu atupe na atimize maana ni wajibu wake kufanya hivyo.
Hii kushukuru kwa kila jambo haijakaa sawa. Kwenye NDIO na iwe NDIYO na HAPANA iwe HAPANA.
Dunia hii ipo computarized katika uumbaji wake uelewe.Mimi napenda kuuliza maswali ili niweze kujua na kufahamu zaidi ili ikitokea nami nimeuulizwa basi nijibu kwa ufasaha na kwa uzuri.

Kwa nini iwe lazima kumwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake?Wokovu ni maisha mapya ambayo mtu anayapokea kwa imani baada ya kumwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake