Maandiko yanasema shukuruni kwa kila jambo.Kwanini tushukuru kwa kila jambo?

Maandiko yanasema shukuruni kwa kila jambo.Kwanini tushukuru kwa kila jambo?

Kama mamlaka hayo unayo niweke tu.

Hakuna ulichokijibu
Hujanipata mkuu wangu, kifupi ni kwamba naungana na wewe. Ni UNAFIKI mkubwa kumshukuru Mungu kwa Mambo yanayotuumiza Kama vile kupatwa na ugonjwa mkubwa Kama stroke halafu eti umshukuru Mungu kwa Hilo. Au mwanao azaliwe kilema Tena umshukuru Mungu kwa Hilo. Huo ni UNAFIKI. Ila kwa sababu sababu hatujafunzwakufikiri na tumezoezwa kukubali Kila desturi basi wewe ambaye una uwezo wa kulifikiri kwa kina hili na kuwa jasiri wa kuliuliza mbele za watu tutakuona kichaa. Maana yangu ilikuwa hiyo.
 
Back
Top Bottom