Hahah upo sawa naamini ndie alieuliza ili tuelimishe jamii,nakujibu,kwanini Baadhi ya nchi za Ulaya,Na baadhi ya majimbo Marekani na hivi karubuni Afrika Kusini wameruhusu matumuzi yake kama dawa na kuvuta Kwa starehe,niliwahi ulizwa na profesa was udsm toka Marekani prf Strump kwamba is smoking a sin?nikashindwa kujibu baadae baada ya miaka nikagundua Mungu ndie huwawekea watu hamu ya vitu so is not bad