Busara ni kitu cha bure. Usidhalilishe utu wako na wazazi waliokulea wakaonekana hawakukulea ipasavyo. Ni ushauri tu, jifunze kuwa na heshima na busara, nawe utaheshimiwa.
Asanteni sana kwa ushauri wana JF,nimeenda kwenye maduka ya spare wamenipa spray ina kama ml. 200,nimepulizia halafu baada ya dk5 nikafuta na cotton wool,yani inafutika vizuri sana japokuwa ina harufu mbaya sana.ASANTEN SANA MEMBERS.