Watu wengi hawaelewi kwanini Waislamu hawaitafsiri Quran tukufu katika lugha mbalimbali bali wanaitumia kwa lugha ile ile kama ilivyoshushwa
Ni kwamba maandishi yanavyozidi kutafsiriwa ndiyo maana ya Asili inazidi kupotea
Unadhani ni kwanini Manabii na Mitume matapeli Ugalatiani hawapendi kabisa kutumia Bible ya Kiebrania au hata ile ya Kiyunani?!
Ngoja niishie hapo π