Maandishi yanavyozidi kutafsiriwa Ndio yanazidi kupoteza maana ya Asili Waislamu wako sahihi kukariri Quran, Mimi natumia Bible ya Kiebrania!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Watu wengi hawaelewi kwanini Waislamu hawaitafsiri Quran tukufu katika lugha mbalimbali bali wanaitumia kwa lugha ile ile kama ilivyoshushwa

Ni kwamba maandishi yanavyozidi kutafsiriwa ndiyo maana ya Asili inazidi kupotea

Unadhani ni kwanini Manabii na Mitume matapeli Ugalatiani hawapendi kabisa kutumia Bible ya Kiebrania au hata ile ya Kiyunani?!

Ngoja niishie hapo 😀
 
mbona hata bible ya Kikuyu ina maana na tafsiri ile ile ya kiefeso licha ya tafsiri ya kisasa 🐒
 
Watu wengi hawaelewi kwanini Waislamu hawaitafsiri Quran tukufu katika lugha mbalimbali bali wanaitumia kwa lugha ile ile kama ilivyoshushwa

Ni kwamba maandishi yanavyozidi kutafsiriwa ndiyo maana ya Asili inazidi kupotea

Unadhani ni kwanini Manabii na Mitume matapeli Ugalatiani hawapendi kabisa kutumia Bible ya Kiebrania au hata ile ya Kiyunani?!

Ngoja niishie hapo 😀

..kuna suala la Dini kuoteza tamaduni za eneo ilikofika. Mfano mzuri ni hali ya kuchanganya dini na ndumba.
 
Back
Top Bottom