Maarifa: Mizizi ya mgomba yaweza kutumika kama chakula

Maarifa: Mizizi ya mgomba yaweza kutumika kama chakula

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Huko Indonesia shina la mgomba hutumika kama chakula baada ya ya mkungu wa ndizi kukatwa, video inaeleza process nzima
 
Watapongezwa na watanzania. Lakini watanzania wanaokula ming'oko wanapondwa na watanzania wenzao.....wanaambiwa 'ni njaa tu'.
 
Watapongezwa na watanzania. Lakini watanzania wanaokula ming'oko wanapondwa na watanzania wenzao.....wanaambiwa 'ni njaa tu'.
Hahahaaa
Usemacho ni kweli lakini hata walao kuku zamani walitupa miguu, utumbo na vinginevyo ila sasa naona vina soko
 
Back
Top Bottom