Maarifa ya msomi

Maarifa ya msomi

Joined
Jul 26, 2022
Posts
15
Reaction score
16
Vijana wenzangu tusikate tamaa tuongeze juhudi, maarifa, na kumtegemea Mungu kwa sana kila kitu kinawezekana chini ya jua[emoji3508].

Wengi wao walio fanikiwa hawakukata tamaa walikutana na changamoto nyingi sana katika kupigania ndoto zao, thus why leo tunawaona ni watu wenye mafanikio katika jamii.

Muhimu usiogope kujaribu, try and try until successful [emoji736]

IMG_20221108_115033.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20221101-130053.jpg
    Screenshot_20221101-130053.jpg
    21.9 KB · Views: 8
Unaongea nn ww!!?
Kwani ujawahi ona watu wanapamban na kuhustle then wanakufa masikini!!??
 
Back
Top Bottom