Advocate Mnyali
Member
- Jul 26, 2022
- 15
- 16
Vijana wenzangu tusikate tamaa tuongeze juhudi, maarifa, na kumtegemea Mungu kwa sana kila kitu kinawezekana chini ya jua[emoji3508].
Wengi wao walio fanikiwa hawakukata tamaa walikutana na changamoto nyingi sana katika kupigania ndoto zao, thus why leo tunawaona ni watu wenye mafanikio katika jamii.
Muhimu usiogope kujaribu, try and try until successful [emoji736]