Maasai Mara hotels run out of beds on wildebeest crossing

Maasai Mara hotels run out of beds on wildebeest crossing

Hii lazima waongeze chuki na wivu [emoji23][emoji23][emoji23].
Watajua kwamba Tanzania Unforgettable sio size yao,

Halafu hata idadi ya watalii tulishawapita siku nyingi

Saivi Tanzania inapokea watalii 1.5 million


Wakati Kenya ni 1.3 million

 
😅😅😅 But you said that you are famous than us, so I expected them to shooting on masaimara



Are video shoots only done in the famous destinations?

There has been countless productions in Kenya, including the famous Big Cat Diaries, and more recently Our Planet on Netflix.
 
Na mbona asifanye casting ya Masai mara! We employed her to do a Serengeti movie!

Unless your name is National Geographic.
The only people you can employ are soldiers to guard your cashew nuts and harass forex bureau workers.

Also, Masai mara has been featured so many times, it was the centre of Big Cat Diary for over 10 years. Sometimes it doesn't hurt to let your small brother have their moment of fame.
 
So? Does that mean in the Serengeti the beds r empty?
The malls are empty, what is happening my bro from LDC?

leo si na mimi nikajitosa Village Supermarket nikasafishe macho.
Kufika la haula, milango yote imefungwa!. Nika ulizaa kulikoni?, wakanishangaa mimi niko nchi gani?!. Duka limefungwa kitambo!.
Kwa vile supermarket hii was catering for high class people of Mbezi Beach, kufungwa huku ni uthibitisho huku kukaa kwa vyuma, sio kwa middle class au sisi akina kajamba nani pekee, hata high class kunawakumba.
Ukikuta biashara yoyote imefungwa ujue hailipi kufuatia ama kuzidiwa na ushindani wa kibiashara, au kupungua kwa purchasing power.
Nikipita pale Shoppers Plaza kuna lots of empty spaces, the same at Mlimani City, kwa vile mimi sio mchumi, siwezi kujua hiki kinachosababishwa biashara zifungwe ni nini, kazi yangu kama mwanahabari ni kuwajulisheni tuu kuwa supermarket ya Village iliyokuwepo Shamo Towers imefungwa.

Na pale Mbezi Classic Mall kona ya goba nafasi zipo kibao zipo wazi tangu pafunguliwe.

Mada nzuri na yenye ukweli,unapoona kuna dalili za working class to stuggle to make end meets elewa kuna tatizo,uchumi wetu unakuwa kwenye makaratasi na kwenye hutuba za wanasiasa wetu ila hali halisi on the ground inaongea tofauti,angalia social services zetu zote zinayumba,kuanzia Elimu,Afya,etcetc na bado tunaongopewa kuwa uchumi unakuwa wakati sio,angalia inflation yetu na rate exchange yetu bado inaonyesha uncertainty kubwa na market inachukia kunapoonekana dalili kama hizi,njia ambazo serikali yangu inaweza kuzifanya ni pamoja na serikali kuonyesha confidence kwa wawekazaji,ruhusu uchumi huria na hapa serikali ikitayarisha na kulinda mazingira bora ya uwekezaji;wenzetu wa hapo Nigeria baada ya kuona middle class yao inayumba(kuyumba kwa hawa kunaweza kukaiangusha serikali iliyo madarakani)imelazimisha mabenki yote kutoa mikopo kwa raia wake ili kutengeneza faida na kama watashindwa warudishe pesa central bank zikae bila ya kuzalisha faida ,kwa hiyo mabenki haya kwa sasa yanatoa zaidi ya 60% ya deposit zao kusaidia middle class kujinasua maana hawa ndio wenye idadi kubwa ya wanunuzi wa bidhaa na wenye uwezo wa kusukuma maendeleo ya nchi.
 
Big Cat Diaries is the most famous Big 5 wildlife Tv Show!
Nothing like Serengeti must not die movie

Screenshot_2019-08-22-15-11-16.png


Vs

Screenshot_2019-08-22-15-10-40.png
 
Back
Top Bottom