Maasai nation

bioto

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,261
Reaction score
2,097
> Mojawapo ya tamaduni ninayochukia katika kabila letu la wamasai ni kulazimishwa kuoa au kuolewa na mtu usiyempenda.
Kwa imani zao potofu wanaamini kuwa mkipendana kabla ya ndoa, mkioana hamtaishi kwa furaha.

> Mwewe akikuruka wakati umelala chali unakufa.

> Mwanaume Hakuna kulia au kujitikisa wakati unafanyiwa tohara, ili kuthibitisha ukakamavu wako. Pia sindano za ganzi marufuku! mnaoga asubuhi saa 11 mtoni ndo ganzi hiyo.

> Ukiwa unaongelea habari za nyoka hutakiwi kutaja jina la "nyoka" wanaamini ukimtaja anatokea.

> Kuchapwa sabini. Ukienda kinyume na maadili adhabu yako ni viboko sabini. Unapelekwa chaka unapewa zako halafu wanakuchinjia kondoo upate afya wakati familia yako ikikuuguza.

> Ongesa Ingine
 
Mwanamke ndo anajenga nyumba lakini siku akitifuana na jamaa anamtimua kwamba nipishe kwenye nyumba yangu wakati hajajenga yeye.
 
Pole xanna naayoni inaelekea wewe hujui lolote kkuhusiana na sisi tuachie mila yetu sisi ndo tunaiweza bhana
 
Wameingia disco na sime [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]uzi umekwama . Mleta uzi kaingia mitini. Nawapenda wamasai simuachi masai wangu milele
 
Umesahau ile nyingine ya kutokuvaa chupi!! Ukipiga ile shuka tu basi mambo mengine tupa kulee
 
Hio ni mila za Kabila lako sio masai sie hatuko hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…