bioto
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,261
- 2,097
> Mojawapo ya tamaduni ninayochukia katika kabila letu la wamasai ni kulazimishwa kuoa au kuolewa na mtu usiyempenda.
Kwa imani zao potofu wanaamini kuwa mkipendana kabla ya ndoa, mkioana hamtaishi kwa furaha.
> Mwewe akikuruka wakati umelala chali unakufa.
> Mwanaume Hakuna kulia au kujitikisa wakati unafanyiwa tohara, ili kuthibitisha ukakamavu wako. Pia sindano za ganzi marufuku! mnaoga asubuhi saa 11 mtoni ndo ganzi hiyo.
> Ukiwa unaongelea habari za nyoka hutakiwi kutaja jina la "nyoka" wanaamini ukimtaja anatokea.
> Kuchapwa sabini. Ukienda kinyume na maadili adhabu yako ni viboko sabini. Unapelekwa chaka unapewa zako halafu wanakuchinjia kondoo upate afya wakati familia yako ikikuuguza.
> Ongesa Ingine