EEEEeeeeNnnnHhhEEEEeeeee!Askofu Nzigilwa amepigwa na Butwaa kuona Watekaji wakiizidi nguvu serikali.
Haya maneno mengine yanasomeka, lakini wanayo yasoma hawaelewi walicho soma.
Eti "...watekaji wameizidi nguvu serikali."!
Ni kama vile nakumbuka huwa kuna zile 'Amri 10'; moja wapo ikihimiza kutosema UONGO!
Hiyo kweli siyo dhambi?
Ngoja niendelee tu kucheka mie, hata kama ni kwa maumivu tu...,EeeenHeeeee, HeeeeEE!
Lakini nakubalina na ujumbe ulio bebwa na maneno hayo, sina shaka ujumbe ulio lengwa kufika mahala husika utakuwa umewasilishwa vizuri.
Lakini tukio hili la Kongamano pia limetokea wakati mwafaka sana. Matumaini yangu ni kuwa hao "watekaji" hawataendelea "kuizidi nguvu serikali" hiyo tarehe 23 Septemba na kuendelea mbele. Hili ni jambo zuri pa kuanzia. Damu ya waTanzania isiendelee kumwagwa na hili kundi linalo endeshwa na srikal yenyewei.