uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Locuta causa finita !Ila sizani kama watat9fautiana na Serikali
Haisaidiii kitu wanakutana tu kama kikundi cha ngomaHabarini wapendwa kanisa km taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu
Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba
Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona
Katibu wa Tec alitoa muda kwa maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana
Mungu ni mwema
Tusubiri NOVENA TUYangu macho tuone dini na serikali nani mwenyewe nguvuView attachment 2802808
Majambazi ya Nchi kwa jina la KanisaHabarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.
Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba.
Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona.
Katibu wa TEC alitoa muda kwa Maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana.
Mungu ni mwema.
BMi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Kanisa halina sababu yoyote ya kushindana na serikali.Yangu macho tuone dini na serikali nani mwenyewe nguvuView attachment 2802808