Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

Kanisa halina sababu yoyote ya kushindana na serikali.
Kanisa linatakiwa lisimame katika kweli ili taifa lipate uzima.
Maneno ya Yesu Kristo, " Mimi ndiye KWELI na UZIMA,.........
Yesu anahusiana nini na kanisa!?
 
Yesu Kristo ndiye mkuu wa kanisa kwa msingi wa uumbaji na ukombozi wa mwanadamu.
Asili ya kanisa ni Yesu Kristo mwenyewe.
Yesu hakuwahi ingia kanisani Wala Ibada zake hazikuhusiana na za kanisa za kula mikate,kunywa na kupiga makelele,alisali hekaluni/sinagogi na Wala hakutoa mapepo,kuponya watu,kufufua kwa makelele Kama kapandwa wazimu,Wala hakusema 'kwa jina langu pepo toka'
 
Ni kweli kelele siyo utaratibu wa Yesu.
Huo ni wa majizi na matapeli yanayotumia jina lake.
Habari ya kula mkate na kunywa divai anahusika.
Aliponya na kufufua kwa maneno machache na mafupi bila kelele.
Kumbuka, "Msipayuke kama watu wa mataifa, maana hao hudhani kua watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mention.......
Wanaojiita manabii wengi wa siku hizi wanatambulishwa na maneno haya kuwa kinyume kabisa na Yesu Kristo.
Uthibitisho mwingine ni ushabiki na ushirika na watawala waovu, wasiotenda haki.
 
Ujinga tuu.Serikali siyo ya kanisa.Mpira ulishaisha huu.
 
Wanajisumbua tu huwezi kupambana na serikali za kiafrica hata siku ni kupoteza muda wako tu
 
Walafi wanaangalia maslahi yao yameguswa mserereko utakuwa mgumu, wazee wa maokoto tumeshawashtukia siku nyingi watafute watu wa kuwadanganya
 
Serekali ya majizi ya kura hamna nguvu hiyo.
 
Wasituletee agenda za ushoga, wangekuwa na uwezo wa mikataba, waache kwanza kuwadhalilisha watoto makanisani tumechoka kuwasikia maaskofu kwani wao ni akina nani? Enzi za roman empire zimekwisha, Dunia kwa sasa ina dini nyingi na mitazamo tofauti.THIS IS NEW ERA.
 
Aliahidi kulijenga kanisa juu ya Mwamba Petro
 
Maaskofu wakiona picha yenye hijab ktk afisi zao roho zinawauma wnatamani wapasuke. Allah ni muweza. 2035 haipo mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…