Maaskofu na Mashekhe: Tunataka tume huru ya Kijaji kuchunguza matukio yanayoendelea Tanzania kati ya Serikali na Chama cha Upinzani

Bias

Biased mind overlooks the obvious. It's blind to FACTS. Kwani MWAMALANGA ni jina la Kaskazini?

Akili nyingine ni kama ya maiti vile..
 
Hao ni Maaskofu au ni Maakofu. Tuacheni utani na Imani
 
Hakuna ambaye yupo Juu ya Sheria.
 
Hawa maaskofu hawaelewi utaratibu wa kufuata¿ au wanataka wasikike kua nao wapo
 
Uzi unasema Maaskofu na Mashehe, sijamsikia shehe hapo, na sidhani kama wamehusishwa. Huyu askofu anaomba tume ya majaji kutafuta ukweli, lakini mbona kesha ishutumu Serekali hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na

Na nyinyi mkome kutufanya watanzania wote hatuna akili. Tuna macho, masikio so tunajua kufanya tathimini.
[/QUOTE
Hebu tuwekee tathmini yako kwa mistari miwili tu kulingana na kilichozungumzwa na maaskofu na mashehe juu ya mustakabali wa nchi
 
Hawa ni wanadini wachache ambao akili zao bado zipo intact
 
Wewe unajuaje kuwa wote ni wa kaskazini je wangeisifia serikali pia ungesema hayo? Acheni unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…